kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Natafuta connection tufanye biashara ya samaki (sangala) na dagaa wa mwanza .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona umeamua kubaki kilindiKilindi, Tanga
Gari zako zipo wapi mkuu.
Unataka kununua au kiuzaNatafuta connection tufanye biashara ya samaki (sangala) na dagaa wa mwanza .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Kama wiki tatu huku Kuna fursa nyingi sana upande wa biashara ya mazao mchawi mtaji tu
Astaghafir llahNatafuta eneo nichome na kutengeneza nyama nzuri sana ya kitimoto, mkoani Dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi tu
dagaa nyama tanga pia wanapatikanawapi nitapata dagaa wa zanzibar waliokatwa vichwa au maarufu kama dagaa wa nyama kwa bei ya jumla na mm nikauze. wajuzi mnijuze chimbo
thanks mkuu nitafanyia kazi wazo lako,nione linatekelezeka vipiTatizo wabongo biashara za kutoa huduma tunaziendesha kwa kujuana unaweza kukosa kazi hivihivi jaribu kutembelea vijiji ambavyo Kuna miradi ya rea ukaongee na viongozi wa vijiji unaweza pata kazi kiurahisi maana watu watakuamini
dagaa nyama tanga pia wanapatikana
Kweli kwanza m1 ukinunua gunia kumi tu mtaji unakua ushakata hii biashara unatakiwa uwe na mtaji mkubwa
Mimi ninauza chia seed kilo moja elfu 9 reja reja jumla kuanzia kilo 5 nauza elfu 6500
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Natafuta connection tufanye biashara ya samaki (sangala) na dagaa wa mwanza .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mtu analima mihogo humu, aje PM
Sent from my iPhone using JamiiForums