Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Tatizo wabongo biashara za kutoa huduma tunaziendesha kwa kujuana unaweza kukosa kazi hivihivi jaribu kutembelea vijiji ambavyo Kuna miradi ya rea ukaongee na viongozi wa vijiji unaweza pata kazi kiurahisi maana watu watakuamini
naona connection nyingi za wachuuzi, service zimekua kwa uchache au hamna kabisa
 
Si kununua kwa mtu au watu bali ni kununua moja kwa moja majarubani/mbugani kwasababu sisi tupo sehemu yenye majaruba ya mipunga kwahyo kwa 1milioni ni hela ndefu kiasi kwahyo faida ni maradufu tofauti na udhaniavyo nyie simnasota na mjini huko hamjui hata majaruba ni nini?? Mnajua tu kula wali....
Hizo biashara za kununua mazao kisha unaweka ndani nadhani zinahitaji mtaji mkubwa sana. Huwezi kuwa serious eti una million 1 ununue magunia ya mpunga uweke ndani utulie tu. Hiyo million 1 si bora utafute kazi ya kufanya angalau upate 10k kwa siku.
 
Kwama hata majaruba hatufaham yakoje.!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom