Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Karibuni sana wapenda mazoezi tupo Mbezi Inn karibu na stand ya Magufuli.
Tunafundish mazoezi aina yote, yakujaza mwili, ya kupunguza mwili, ku maintain nk
bei ni 3,000 kwa siku
Pia tunauza unga wa green tea unajulikana kwa jina la Matcha, husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini, husaidia kupunguza stress, nk bei 70,000
Tunauza na Yoga mat bei 50,000 ni nzito nzuri sana na vifaa vyengine vya mazoezi.
Watu wa Kimara, mbezi ya kimara karibuni sana tuwahudumie
tupigie 0672557221 au 0789247858
Instagram tu folllow lovintahgym au mussa_abs
 
Jiji la Dodoma kwa sasa lina uhitaji wa kila kitu kuanzia bidhaa za shambani mpaka viwandani sababu kuu ni wingi wa watu wanaoingia na kutoka hapo jijini.
Connections tafadhali kwa mtu atakaye kuwa tayari mimi ninauwezo wa kukusanya maharage hasa ya njano.
Kuanzia tani 1 yaani gunia 10 za kilo 100 kila moja nakutumia mzigo kama una swali karibu.
 
Maharage kutoka Kigoma
 
Natafuta mtu wa kununua company ya catering services ambayo ipo hapa dsm imesajiliwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na Ina vibali vyote vya serikali , kwahyo anaitajika mtu wa kununua shares zote za company na assets zote za company pamoja na wafanya kazi na pia ataongeza na wanyakazi wake wengne na yy atakuwa mkurugezi wa company kwahiyo boss atakayekuwa tiyali katika hili tuwasiliane kupita no hii 0766 09 09 56 Ahsante
 
WAKUU MWENYE CONNECTION YA VITUNGUU KUTOKA SINGIDA AU MAHALI POPOTE ANITAFUTE TUFANYE KITU
 
Weka gharama, na je mpo mmekodi eneo/jengo kwa kutoa huduma kila siku, au mpaka mpate oda ndio mnahudumia?
 
haipungui ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…