kwa hio ile ndoo ndogo ya lita 10 unauza sh ngap?
[/QUOTE
wakavu ndoo inakua ni kubwa kwa 25000 na wa kukaanga ndoo ndogo kwa 40000. NB wakukukaanga ni wale wanaotoka ziwani na kukaangwa moja kwa moja maana kuna ambao wanaanikwa juani kwanza ndio wanakaangwa hao ni bei rahisi na siwauzi sababu ni wachungu ukiwala.
hii bei hata kijijini huwezi pata nishafanya research ya hii kitu kijijini wanacheza kwenye 8000-9000 pigia+ ushuru+ usafir ili mtu apate faida angalau auze kwa 12000 bei ya jumla kwa dar,pia risk ya kufa mda wa kuwasafirisha huwa kubwa Sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali tupia namba yako PM tuyajengeNina Kama wiki tatu huku Kuna fursa nyingi sana upande wa biashara ya mazao mchawi mtaji tu
Mkuu naomba connection ya huko hasa swaumu tufanye biashara
Naamini huu uzi utakuwa endelevu na wenye manufaa na naamini Mungu ataweka mkono wake kusitokee utapeli wa aina yoyote ile ,,Amani na Upendo vikatutawale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mwezi wa 12 nilinunua kilo kwa 2500. Kwa ajili ya kupanda.
Tunafungua MikobaKauzi kazuri.
Nahitaji connection wanapofungua mikoba ya mitumba hapa dar..ile mikoba ya brand kubwa na classic( lv Gucci d&g Hermes ysl nk)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mwezi wa 12 nilinunua kilo kwa 2500. Kwa ajili ya kupanda.
God save us
Wewe unazo hizo bidhaa au wewe ndio unahitaji mkuu?Nipo njomb hapa mwenye conectione ya vitunguu na viazi batata ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app