Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

kwa hio ile ndoo ndogo ya lita 10 unauza sh ngap?
[/QUOTE
wakavu ndoo inakua ni kubwa kwa 25000 na wa kukaanga ndoo ndogo kwa 40000. NB wakukukaanga ni wale wanaotoka ziwani na kukaangwa moja kwa moja maana kuna ambao wanaanikwa juani kwanza ndio wanakaangwa hao ni bei rahisi na siwauzi sababu ni wachungu ukiwala.
 
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu. Wasiliana na nasi kwa 0693296809 Call and Whatsapp. Karibuni sana
 
Conclusion aachane na biashara hiyo

Na wale wanaouza je, wao wanauza kwa hasara

Kuna siku nilimuona Lina (yule msanii aliyetokea THT) anauza kuku

Ni bora kutoa ushauri mtu afanikishe vipi kuliko kukatishana tamaa
hii bei hata kijijini huwezi pata nishafanya research ya hii kitu kijijini wanacheza kwenye 8000-9000 pigia+ ushuru+ usafir ili mtu apate faida angalau auze kwa 12000 bei ya jumla kwa dar,pia risk ya kufa mda wa kuwasafirisha huwa kubwa Sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom