Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ya mia tano mia tano ..
Kwa kuanza nataka nianze kawaida tu yan ka location kenye watu wengi alafu nipate tu sehemu ya kuweka jiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kama biashara yako itaitaji frame au haitoitaji ..ila kama utakuwa na mishikaki mizuri nafikiri utaitaji frame cha msingi ni kuzingatia population.

Kama itakuwa ya kutembeza au kuchoma kwenye toroli mitaa itakayo kufaa ni mitaa ya liberty,dampo sahara ndio kuna mwingiliano mkubwa wa watu

Ila kama utaitaji frame nafikiri pia maeneo ya uhuru , dampo yatakuwa favourite kwako kikubwa mishikaki iwe na ubora na yenye kuvutia wateja , ukipata time nenda salma cone jioni ukajifunze kutoka kwa mishikaki ya saidi

All the best champ
 
Yes mishikak ya salma cone ni mizuri milaini
 
Back
Top Bottom