Dagaa wa aina gani mkuuNaomba connection nikusambazie KuKu wa kienyeji wa kubwa kama una supermarket au Hotel naweza kuandaa kwa kuchinja na kusafisha, Pia kama unahitaji dagaa nicheki tufanye biashara.
Dagaa wa Mwanza
Check nimekuPMMwenye connection wa kuuza Dagaa wa kigoma na Samaki Namuomba Ani Dm
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta wazalishaji wa pembejeo za kilimo like mbolea tuwasiliane nahitaji niwe wakala wao Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mia tano mia tano ..Mishikaki ya bei gani unataka na ubora upi
Karanga bei ganiKonekshen ya uuzaji au kilimo cha karanga na mpunga kati ya tabora na morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi gani unahitaji
Sijajua kama biashara yako itaitaji frame au haitoitaji ..ila kama utakuwa na mishikaki mizuri nafikiri utaitaji frame cha msingi ni kuzingatia population.Ya mia tano mia tano ..
Kwa kuanza nataka nianze kawaida tu yan ka location kenye watu wengi alafu nipate tu sehemu ya kuweka jiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Karanga za mpwapwa na tabora hazifanani...za tabora ni nzuri zaidi pia kibiashara😊! Nw kilo ni 2500Mpwapwa sasa hv Karanga inavunwa. Mashambani wakulima wanauza Karanga ghafi 30k kwa gunia. Kwa wastani gunia 1 la Karanga ghafi linatoa 25-30 Kg!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaanza mimi nije kukopaNahitaji kuanzisha Uwakala mikopo ya Bank(Bank loan Agent) nahitaji kupata connection
Sijajua kama biashara yako itaitaji frame au haitoitaji ..ila kama utakuwa na mishikaki mizuri nafikiri utaitaji frame cha msingi ni kuzingatia population.
Kama itakuwa ya kutembeza au kuchoma kwenye toroli mitaa itakayo kufaa ni mitaa ya liberty,dampo sahara ndio kuna mwingiliano mkubwa wa watu
Ila kama utaitaji frame nafikiri pia maeneo ya uhuru , dampo yatakuwa favourite kwako kikubwa mishikaki iwe na ubora na yenye kuvutia wateja , ukipata time nenda salma cone jioni ukajifunze kutoka kwa mishikaki ya saidi
All the best champ
Karanga za mpwapwa na tabora hazifanani...za tabora ni nzuri zaidi pia kibiashara[emoji4]! Nw kilo ni 2500
Safi sana ukipata majibu nitagMuuzaji wa tangawizi na vitunguu swaumu toka njombe au madaba na bei ataje