Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu kwema?

Tupeane connection kuna freezer truck ya tani 2 haijapa kazi imepaki. Kama kuna mchongo wowote tushtuane. Gari ipo Dar.
Kama upo tayari nenda Tanga uwe unabeba samaki wabichi na dagaa kutoka Kipumbwi kisha unapeleka Muheza au Korogwe ukiwa vizuri unaenda mpaka Arusha.

Hao samaki ukianza kuuza njiani mfano Muheza,Hale,Segera unaweza ukamaliza njiani kisha warudi tena.
 
OFFICE INAPANGISHWA
[emoji3581]INA PARTITIONS MBILI KUBWA
[emoji3581]CHOO NDANI
[emoji3581]LUKU YAKO IPO NJE
[emoji3581]MAJI YAPO
[emoji3581]PARKING IPO
OFFICE IPO ADA ESTATE OPPOSITE NA DAR FREE MARKET PALE KWENYE MAGHOROFA YALIYOKUWA YA NHC, KODI 380,000 KWA MWEZI MAONGEZI YAPO,(Terms 6 Months) HAKUNA UDALALI WALA SERVICE CHARGE KUONYESHWA NI BURE!
PIGA 0682521021
 
Gari mbili aina ya TATA na Canter (New Model) Box Body Tani 3.5 zinakodishwa kwa mkataba.

Wakuu kwema?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu hapo kuna gari zinakodishwa kwa kazi za mkataba.

Gari zipo mbili ya kwanza ni TATA ya tani 3.5 na nyingine ni Canter New Model ya tani 3 zote ni box body.

Gari zinafaa kwa shughuli mbalimbali kama kubebea soda, maji, gesi na bidhaa nyingine nyingi. Hivyo basi wakuu kama kuna mtu hapa jukwaani au kampuni watakuwa na uhitaji wa gari anitafute au kama kuna mtu ana connection na sehemu ambayo gari zinaweza pata kazi hapa Dar anicheki gari zikipata kazi tutapoozana.

Nawakaribisha kukagua gari siku na muda wowote au naweza zileta gari sehemu yoyote kwa ajili ya ukaguzi.

Karibuni PM au unaweza nipigia au kunitumia SMS kwa namba 0744183343.

Karibuni.



 
Je unahitaji simple kali za kimasai kwa bei nafuu sana.
Basi usisumbuke MMASAI OG FASHION SHOES tunakuuzia viatu vya kimasai kwa bei ya chini sana kwa mfanyabiashara na mvaaji
Bei zetu;
Jumla ni kuanzia shilingi 5000 tu!
Rejareja ni kuanzia 7000 tu...
Tupo Dar es Salaam
Whatsap number;0672904720
 
Ungetupiamo na kapicha ingependeza zaidi!
 
Nahitaji wadau wa kununua Ufuta wangu, upo kama tani 5. Mwenye connection anicheki inbox
Sikuhizi kuna yale maghala,wakulima wote wanapeleka ghalani mazao yao hasa korosho, ufuta nimeona huku rufiji alafu kuna siku ya mnada baada ya muda flani unawekewa hela yako ktk akaunt uliyoandika baada ya mnada kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…