Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hiyo bei ni kubwa sana...Kilo 4,000 zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bei ni kubwa sana...Kilo 4,000 zipo
Hapana! Nilikua pwaniKwan ww si upo Dar es Salaam ama? Ama ndio umekuwa wa kishua mpaka bei ya mkaa hujui.
Aah Nilijaribu ufuta aiseeHahaaaa ulienda kulima?
Kama upo tayari nenda Tanga uwe unabeba samaki wabichi na dagaa kutoka Kipumbwi kisha unapeleka Muheza au Korogwe ukiwa vizuri unaenda mpaka Arusha.Wakuu kwema?
Tupeane connection kuna freezer truck ya tani 2 haijapa kazi imepaki. Kama kuna mchongo wowote tushtuane. Gari ipo Dar.
12Tsh ngapi? Reja!! Reja!!
Ungetupiamo na kapicha ingependeza zaidi!Je unahitaji simple kali za kimasai kwa bei nafuu sana.
Basi usisumbuke MMASAI OG FASHION SHOES tunakuuzia viatu vya kimasai kwa bei ya chini sana kwa mfanyabiashara na mvaaji
Bei zetu;
Jumla ni kuanzia shilingi 5000 tu!
Rejareja ni kuanzia 7000 tu...
Tupo Dar es Salaam
Whatsap number;0672904720
Akitupia nitag mzeeUngetupiamo na kapicha ingependeza zaidi!
Upo wapi weweNahitaji wadau wa kununua Ufuta wangu, upo kama tani 5. Mwenye connection anicheki inbox
HH haha ninatamani nipate mchumba hukoNjoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Sikuhizi kuna yale maghala,wakulima wote wanapeleka ghalani mazao yao hasa korosho, ufuta nimeona huku rufiji alafu kuna siku ya mnada baada ya muda flani unawekewa hela yako ktk akaunt uliyoandika baada ya mnada kufanyikaNahitaji wadau wa kununua Ufuta wangu, upo kama tani 5. Mwenye connection anicheki inbox