Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Leo kilo moja ya mahindi Songea inanunuliwa kwa Tsh. 430 kwa maeneo ya vijijini na Tsh. 450 mjini. Karibu ununue mahindi kupitia vikundi vya wakulima. Tunaomtandao mkubwa sana wa vikundi vya wakulima ambao tunawapa huduma mbalimbali hivi unaweza ukapata mahindi mengi sana kwa haraka.

Kama wewe ni mnunuzi wa mahindi njoo ununue kupitia vikundi vyetu vya wakulima. Faida ya kununua kupitia vikundi vya wakulima ni uhakika wa kupata mzigo mkubwa na wenye ubora kwa haraka zaidi huku ukipata usaidizi wa wataalamu wetu ktk ukusanyaji. Njoo ofisini kwetu kwa taarifa zaidi.

Mawasiliano yetu ni 0621133117
Tunapatikana jengo la NSSF Songea ghorofa ya 3.
 
Sawa bei 450.
Hujasema usafiri wa gunia moja toka huko mpaka Dar sh ngapi?
 
Habarii , mimi mtengenezi wa chakula cha kuku aina zote kwa kwa mfumo wa,wakaida (sio pilet) najua kuchanganya dawa na kusaga , lkn pia ninaweza kusaga Unga wa sembe na kuwauzia watu, cna MASHINE ni nina ujuzi aliekuwa tayali.

Kufanya biashara hii na anaitaji mtu wa kufanya nae kazi unaweza nicheki WhatsApp 0785332010 lkn pia unaweza tuma sms ya kawaida au kupiga kwa no 0785332010 / 0719103409 nipo dar es salam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…