Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nipo interested pia naomba taja bei zako, mimi niliulizia Masasi. Kwa kukusanya vijijini bei 300 @kg kwa kukusanyia Masasi mjini bei 420@kg wakileta mpaka Dar inauzwa 550@kg
Bwana Mimi mbaazi nipo nazo zakutosha tu niambie unataka kiasi gani...gunia ngapi!..Bei usijali
 
Wakuu nahitaji mwenye hizi pipa au mwenye connection kujua wapi naweza zipata kwa wingi na bei ya jumla .Natanguliza shukrani
 
Smart solution tumekuletea device mpya kwa ajili ya kukuza mwonekano wa screen ya smartphone yako zinazojulikana kama screen magnifiers.

Zipo za inchi 14 na bei yake ni 50,000/=

Tunapatikana Dodoma lakini tunatuma mikoa yote Tanzania bure yaani ni free delivery.

0710846721


 
Nenda tandika sokoni nazionaga nyingi na soko la tazara vetenary nayaonaga mengi hayo mapipa
Hizo zinauzwa ghali 45k - 50k Mimi nahitaji toka viwandani ambapo bei ni 20k -25k. Hizi huwa zinaletea malighafi hasa kemikali kwa baadhi ya viwanda ila sijajua hasa ni viwanda gani.
 
Ungekua simiyu biashara ya mpunga ingekutoa sanaa,unakua na milioni yako 1 unanunua magunia yako kadhaa unayaweka ndani baada ya miezi kadhaa unakoboa unauza mchele. Fursa nzuri sanaa hyo nami hv soon nitaifanya maana ndo nyumbani huko.
Nitakuchek
 
Nilitembelea minada ya Iringa mvumi na maeneo ya jirani kwa wauzaji, asilimia kubwa ya kuku wanauzwa 7000-9000 peah. Nina mtu anafanya hiyo biashara ila yeye huwa anachukulia Singida na Tabora kwa bei hizo kwa ukubwa wa kuku wa Singida na Tabora ndio wanamaumbo makubwa tofaut na wa Dodoma.

Bei zinarange kuanzia 7000- 9000 kwa bei ya jumla. Alafu pia ushuru ni lazima ukinunulia mnadani kila kuku unaweza kutozwa 200 au 300 but ukizunguka kwa wafugaji hamna ushuru bt kwenye kukusanya inaweza kukupotezea muda mwingi zaidi.
 
Nitakuchek
 
Mimi ni Boda Boda ninaejielewa mzoefu, mwaminifu pia nina family niko Dar es Salaam, ukiwa mitaa ya Tabata Kinyerezi na Segerea, Kimanga, Chang'ombe, ewe mama, kaka, dada ukihitaji usafiri karibu tusaidiane maisha pia bei zangu ni za kawaida sana.

Safari zako nitakufikisha kwa haraka na salama zaidi pia ukiniunganisha na ndugu, jamaa, jirani au rafiki nitafurahi sana huu mji bila connection ni kazi buree, naombeni connection wajameni namba yangu ni 0756695846. Call, WhatsApp or text. Hutajuta kufanya kazi na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…