Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kama kuna mtu anafahamu wapi napata mashine ya kutengeneza bahasha za kaki, A3, A4, A5 na zile.ndogo kabisa za kufungia dawa, anisaidie.
 
Natafuta mtu anaeuza maziwa mtindi ya kienyeji kwa bei nzuri angalau shillingi 500-600 kwa lita moja. awe mkoa wowote ule ambao una mabasi ya kuja Dar.
contact 0687886600
Mimi nna maziwa mtindi natural kabisa ..1lt 3000 ..5L @15000 mpaka mlangoni nakuletea
 
Salaaams wakuu.

Natafuta connection ya kuagiza bidhaaa kama mapazia, mashuka (100% cotton), duvet, wardobes n.k kutoka china au thailand.

Natanguliza shukran
 
Kwa anayetaka exchange ya ving'amuzi ninahitaji cha Azam nina cha Dstv kipya kabisa kina wiki tatu, njoo PM tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…