Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kwa kilogram moja unauza kiasi gani?
Inategemea idadi ya kisado au debe zitakazojazwa kupata iyo kilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kilogram moja unauza kiasi gani?
Nahitaji connection ya mkaa nipo vigwaza
viungo gani??Mwenye bidhaa yake ya chukula au viuongo anahitaji kuuziwa au kusambaziwa tunasambaza kwa haraka zaidi tunapatikana Arusha
njoo pm au email jumaomari@ymail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye connection ya dagaa naomba tuwasiliane, nahitaji kuwa uzaKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Nipo vigwaza nahitaji mkaa
Unahitaji dagaa wapi? nina dagaa wa mwanza wa kukaanga grade A na wakavu wasio na michanga.Mwenye connection ya dagaa naomba tuwasiliane, nahitaji kuwa uza
Unapatikana wapi?Wale wakaka mnaotaka suruali za Cardet kuanzia za 20,000-35,0000 zinapatikan
bei inaendana na Brand na Ubora wa Cardet
size 30-42..
Sijawahi kuharibu..
karibuni.
Dagaa wapo wa kukaanga na wakavu kawaidaMwenye connection ya dagaa naomba tuwasiliane, nahitaji kuwa uza
Dar es SalaamUnapatikana wapi?
Mkuu na mimi hii nahitaji niwe wakala wao nipo IringaNatafuta wazalishaji wa pembejeo za kilimo like mbolea tuwasiliane nahitaji niwe wakala wao Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
unapatikana wapi??Unahitaji dagaa wapi? nina dagaa wa mwanza wa kukaanga grade A na wakavu wasio na michanga.
mwanzaunapatikana wapi??