Hilax Saf
Member
- Mar 25, 2020
- 89
- 148
Nimeku-pm kiongoziKama ni kununua nichek pm nikupe namba ya mdau mmoja ni mtaalamu katika masuala hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeku-pm kiongoziKama ni kununua nichek pm nikupe namba ya mdau mmoja ni mtaalamu katika masuala hayo.
Mwenye connection ya dagaa naomba tuwasiliane, nahitaji kuwa uza
Nenda fb Kuna group linaitwa ufugaji kuku biashara changamoto na masoko huko utapata link ya whatsup group na telegram channel yaoMimi ni mzalishaji wa kuku wa nyama (broiller) naweza kuzalisha kuku 100 kwa wiki....
Natafuta soko. Nipo Dar es Salaam.
Dalali au muhusika nicheki
0767521736
Pia kamakuna mtu analo group la wasap la masoko ya kukunaomba aniunge tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo group ni zuri sana, nataka nianze biashara za kununua na kuuza kuku naamini iltanifaa sana.Nenda fb Kuna group linaitwa ufugaji kuku biashara changamoto na masoko huko utapata link ya whatsup group na telegram channel yao
bei zako zikoje?mwanza
Kiko wapi hiki kijiji mkuu.
Natafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Bias
Biashara ya mbao njoo mafinga au njombe utabeba na utaziacha shambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo group ni zuri sana, nataka nianze biashara za kununua na kuuza kuku naamini iltanifaa sana.
Nikipata nitashare mkuu, bado sina kwa sasa.
Fafanua mkuu
Ni kweli biashara ya mazao esp. Michele uzuri Tazara imepita hapo unaweza transport mzigo paka DSM that day nauli kwa kiroba cha mchele 100kg ilikuwa 8000 itakuwa HVO paka sa HV I guess
Kutoka ifakara mpaka dar kilo moja ya mchele husafiliahwa kwa sh 80 mala 100 inakuja 8000,kupakia mchele gunia sh 700,na kushusha being hiyo hiyo,ushuru kilo sh 30 kwa kilo 100 inakuja 3000 umagharamia usafili kutoka huko mlimba bei yake siifahamu hapo nazungumzia kwenye gari kwa hiyo gari inakuletea ww ulipo kama buguruni ,manzese ,tegeta ,tandika nkFafanua mkuu
Nakuombea mafanikio ✌✌katika utafutaji wako. Umejieleza vizuri sana.Habari,mm natafuta mtu ambae anaweza kufungua mashine ya kusaga sembe na mm nikawa kama msimamizi(mfanyakazi )ninaweza kukoboa kusagana na kuweka ktk vifungashio(viloba vya sembe)nina fahamu madalali wengi ambao wanaweza kuleta mahindi
Lkn pia kuna eneo Pele temeke lipo NI jengo japo sio kubwa sana lkn linafaa kuanza linaitaji ukarabati mdogo ,
Mm pia NI fundi mashine ya kukoboa na kusaga naweza kutengeneza,
Lkn pia ninaweza kutengeneza chakula cha kuku wa kisasa kama finisher, statar nk ,(mashine yako hapo mm cna mashine )na kama unaitaji mashine njoo nikupeleke wanapotengeneza 0785332010 0719103409 karibuni wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye anauza playstation 4 iliyo cheapd kwa gharama nafuu please namuomba tutafutane
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea na dagaa gani unataka wakavu wasio na mchanga ni kuanzia Tsh 4000 kwa sado. Na wa kukaanga ninaanzia Tsh 15000 kwa sado moja.bei zako zikoje?
kwa hio ile ndoo ndogo ya lita 10 unauza sh ngap?inategemea na dagaa gani unataka wakavu wasio na mchanga ni kuanzia Tsh 4000 kwa sado. Na wa kukaanga ninaanzia Tsh 15000 kwa sado moja.