Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Upo mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki wa maji chumvi au baridi? Unauza kwa jumla au rejareja?Mwenye kuhitaji samaki anicheki
Sawa, aliyekaribu atakucheki. Ingelikuwa moshi au arusha ingekuwa biee
Nimesikia na nimeitwa kwenye connection moja huko Mbeya, ngoja next week nikaicheck kama iko njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta connection ya kazi za kuchapa (typing) iwe ripoti, kitabu, jarida n.k. tuwasiliane nikufanyie kazi yako kwa ustadi.
+255767492862
Mkuu si vizuri kuweka namba YAKO hapa NI USHAURI tu wenye shida na wewe watakufuata pmAnayehitaji dereva wa boda boda Au kufanya deriver kwa toyo 0621926686
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mkoa ganiNatafuta connection ya Wizara ya afya Procurement ya kuwauzia vifaa tiba
Kwa wanaohitaji Dagaa wapo
waliokaangwa kisado ni 17,000
kwa wakavu wa juani kilo ni 5500
Mzee baba naomba kuja Dm kwako tuyajadili haya tafadhali mzee nahitaji conection za Mlimba plsKweli kwanza m1 ukinunua gunia kumi tu mtaji unakua ushakata hii biashara unatakiwa uwe na mtaji mkubwa