Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba kujua mahali zinakopatikana hii machine ya kufyeka maji kwa hapa bongo
tapatalk_1341934190_639x480.jpg


Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Natafta connection na mtu ambayo atanisaidia kupata duara la uchimbaji dhahabu
Mikoa ya kanda ya kati ,chunya au Igunga nzega
 
Habari wadau, kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani.

Petroleum services (unlimited quantity)

Waste oil/ HFO (heavy fuel oil) supply (oil and lubricants)

Diesel, Furnace Oil, CST 125,CST 150,CST 180.Hizo ndio aina za hayo mafuta ambazo tunazo wakuu kama yeyote atahitaji kupima tunaweza kuwapelekea sample.

Tunaweza kuwasiliana kupitia 0787547343


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.


Sent from iPhone 6s Plus
 
Back
Top Bottom