Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ainisha maeneo na bei zake mkuu.
Hasa maeneo ya makazi nahitaji kujua

Sent using Jamii Forums mobile app

sqm 1500 kipo iyumbu kinahitaji milion 18
01e29e73-3179-42e4-a2e3-de565f2debe3.jpg


sqm 700 kila kimoja vipo iyumbu nauza milion 3.5 kila kimoja. Karibu mkuu
View attachment 1437135
 
Nina truck yangu ton 3.5 hadi 4 mwenye mzigo wake anayetaka kusafilishiaaa au kama una connection niambiee...napigaa kambi popote...kama una connection ya mizigo toka vijijini kwenda mjini au injee ya mikoaa nijuzeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitumie namba yako pm Kuna dili la kusafirisha kuku mlimba kwenda dar
 
Back
Top Bottom