shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 269
- 390
Nashukuru kwa kunisahihisha boss aisee kule nitarudi tu , nilipiga dili moja japo ilikua la magendo nusura nizame ziwani lakini lilinilipa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa kunisahihisha boss aisee kule nitarudi tu , nilipiga dili moja japo ilikua la magendo nusura nizame ziwani lakini lilinilipa sana
Kuku wa elf 5 wakubwa au wadogo mkuuNjoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Unataka lita ngapi?Kwa aliyeko tabora na anauza asali nyuki wadogo tufanye kitu nipo dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliandika 3200@kilo
Gunia la kilo 100, 190,000.00 maana yake kilo ni 1,900.00?? Km bado juu labda kwa mnunuzi wa rejareja na donWakuu,
Mimi Nina Michele wa kutosha.
Yeyote anayehitaji au ana mteja nauza gunia shs 190,000/= (Grade 1) gunia shs 170,000/= ( Grade II) Maelezo zaidi piga simu 0715888376
Kiageni ipo wapi na hapo ni kilimo gani kinawezekana??Nauza shamba Kiagei bwawani Morogoro lina ukubwa wa hekari tano (5) linafaa sana kwa kilimo. Hekari moja sh. 750,000/= kwa biashara zaidi nicheki PM.
Jamani me nina mtaji wa laki 5 ila bado sija jua nifanye biashara gani ita kayo nifanya nikuze mtaji wangu, natumaini mta nipa mawazo mazuri ili corona ikiisha nianze kazi natanguliza shukurani zangu kwenu [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua mahali zinakopatikana hii machine ya kufyeka maji kwa hapa bongoView attachment 1422608
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
ni PM mkuu usihofu
Mkuu usafirishaji ukoje, niko Moshi.Upo wapi karatu mahindi sasa ni sh.45000 gunia mengi tu,maharage yapo pia ila bei sijajua ukihitaji nikukonnect
Kuna groups za kuagiza za china whatsapp.Natafuta connection ya China yaani niwe napokea bidhaa kwa bei ya china then nami nauza
Mkuu embu njoo hapa ujazie jazie nyamaMpwapwa sasa hv Karanga inavunwa. Mashambani wakulima wanauza Karanga ghafi 30k kwa gunia. Kwa wastani gunia 1 la Karanga ghafi linatoa 25-30 Kg!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua zaidi.
Wazee msaada wapi naweza kupata hizi Earmuffs(anti noise), sio headphone Ni zile za kupunguza makelele ya mashine zinazopiga kelele sana.View attachment 1431991
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Umeombwa ufafanuzi , ingawa nami naamini fursa haikosekaniWajuzi wa mambo ya mipakani hili la kufungwa kwa boda kati ya Tanzania na Zambia je haiwezi kua fursa ? Mathalani kuna bidhaa zinaweza kua adimu sana
Leta namba tujiungeKuna groups za kuagiza za china whatsapp.
Bei za viwandani
mama wawili