Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mimi nmepata ideas, nme note down nategea siku Mungu akifungua milango akaleta baraka zake nijiingize rasmi ktk kujiajiri.. one day yes #TheMarathonContinues [emoji120][emoji469]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kiongozi ila tusibase sana kwenye secta moja tu tupeane Update hata kwenye ishu za Madini tujuwe chimbo wapi na niaina gani ya Madini inapatikana natanguliza shukrani wale wadau waje watujuze
 
c8afcdc8-52bd-402c-bb0b-7874908212af.jpg
c503a9a2-215e-46b4-9a00-25c92497259e.jpg
d0044d1c-c120-4aa0-a36f-7952d4460e51.jpg
358099c0-6d75-4e99-a3df-dbd2b9e2a73d.jpg
c15caf30-9f93-4480-8ffb-7d452aff8423.jpg


Tunauza viatu na nguo kutoka uturuki,kwa jumla na reja reja mzigo mpya umeingia na hizi ndio model za kisasa check +255 69 304 7414, tupo Tandika Dar es salaam, karibu na Bakhressa


Alexander
 
Habari mkuu?
Ikikupendeza naomba unifungulie PM ninashida na connection ya biashara ya karanga ya Tabora, nataka kujuwa na bei na naweza kupata kwa uwingi kwa mara moja?

Next tym ukitaka uzipate nyingi nenda nov au dec...uwawezeshe hela kidg wakulima...hela ndogo ndogo za watoto kwenda shule..utakusanya gunia balaa sasa hivi kidg zitakuwa adimu!..zipeleke tu hata moro/ifakara...ikikupendeza utakuja toa shuhuda hapa
 
Back
Top Bottom