Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wadau uzi umekuwa wakunivutia na mimi nahitaji connection za wapi kwenye Minada ya Ng'ombe kwa mikoa kama Vile Dodoma,Morogoro,Pwani au Tanga kwa kuanzia tupeane Update
Waki kupa na Mimi ni tag mana ndo mishe iliyo kichwanj mwangu miaka mingi Mungu mwema ipo siku Nita ifanya tu.. Kwa pwani kuna mtu aliwahi nieleza maeneo ya vigwaza ila hafahamu vigwaza ni sehemu gani
 
Nawewe unazingua hakuna kuku wa kienyeji mkubwa kwa bei ya 5000/- hapa Dar, iwe reja reja au jumla.
Hata ukitaka kuku 1000 kwa siku hupati kwa hiyo bei. Labda kama unataka bado wadogo (siyo vifaranga) wa kwenda kufuga
Heshimuni biashara za watu.

Na yule mdau naye bei zake ni za reja reja hazifanani na bei ya jumla.
Kama vipi msichafue uzi mzuri kwa post zenu za bei zisizo na uhalisia.
Mbona kama umekurupuka vile,au ndio swahumu Kali???wapi nimeandika 5000/=??
 
Vigwaza ni baada ya ruvu mbele kidogo kama kilometer mbili hivi ukiwa unaenda moro mnada wao pale ni kila alhamisi!
Waki kupa na Mimi ni tag mana ndo mishe iliyo kichwanj mwangu miaka mingi Mungu mwema ipo siku Nita ifanya tu.. Kwa pwani kuna mtu aliwahi nieleza maeneo ya vigwaza ila hafahamu vigwaza ni sehemu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ringa huko minada ya mifugo nahisi ni mingi sana njia ya Dodoma hiyo kama ukivuka mtera pale kuna kijiji kimoja kina itwa chipogolo nao huwa wana minada...

Mm na jamaa yangu yupo Iringa alikuwa ana ifanya hii biashara toka tupo chuo ila sasa amebadilisha amehamia kwenye hardware mwang'ingo hapo..

Sema simu yangu ilipotea basi namba nikapoteza ninge mpata huyu mtu mambo yangu asilimia kubwa kwenye hii bzness ingekuwa sawa
 
Dah... Sumbawanga, pembezoni mwa ziwa na fursa zipo za kutosha

Wakuu tuendelee kupambana
Katika zurura zurura nilipita kijiji kimoja kinaitwa kalando kama sijakosea kijiji hiki kipo sumbawanga kama unaenda mpanda unaingia kushoto , kipo pembeni ya ziwa Tanganyika .

Huku kuna fursa lukuki ikiwemo mchele samaki na mbao , mizigo ni mingi sana ya kuja mjini ila magari ni yakusua sua . njia ni vumbi japo inapitika . mbali na usafiri huku kuna fursa saaaana kwa biashara tajwa hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ringa huko minada ya mifugo nahisi ni mingi sana njia ya Dodoma hiyo kama ukivuka mtera pale kuna kijiji kimoja kina itwa chipogolo nao huwa wana minada... Mm na jamaa yangu yupo Iringa alikuwa ana ifanya hii biashara toka tupo chuo ila sasa amebadilisha amehamia kwenye hardware mwang'ingo hapo.. Sema simu yangu ilipotea basi namba nikapoteza ninge mpata huyu mtu mambo yangu asilimia kubwa kwenye hii bzness ingekuwa sawa
Thanks mkuu nitaenda wkend kufanya survey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CONNECTION YA BATI NZURI,
Kuna bati nzuri za rangi, migongo mipana na migongo ya Vigae (versatile), lakini pia Vigae vya kuezekea(roofing tiles) na vile vya chini(floor tiles) vipo | KARIBU
Tupo DSM,
Nipigie +255658339930

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
 
Natafuta connection ya wapi ntapata mbegu nzuri ya viazi mviringo mkoa wa mbeya, na gharama yake bila kusahau kadirio la kiasi cha mbegu za kuenea eneo la ekari 1. Wasalaam
 
Back
Top Bottom