Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Nina kampuni ya kukusanya madeni na real estate kwa wakaazi wa Arusha na Mwanza.
 
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
 
TUNADESIGN_NA_KUPRINT (PROMOTIONAL MATERIALS ) POSTERS & FLYERS ,TSHIRTS & CAPS, STICKERS LABELS, B_CARDS & ID_CARDS ,BANNERS LOGO CARBONIZED BOOKs, COMPANY_PROFILE , CUSTOMIZED DIARY & NOTEBOOK, n.k
Karibu PM or Call/ Whatsapp No 0745775598 .. Dar es Salaam ni Free Delivery , Mikoani unalipa usafiri mwenyewe
.
Karibuni tupeane Connection
 
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
Chief! Viatu vya kiume hauuzi kutoka uturuki?
 
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
Mturuki ana vitu konki sana,,
 
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
weka baadhi ya picha za sample na bei zake mtu akiona ina maslah anakutafta ila kuandka tu hv inakuwa story kama story zngne tu
 
Chief! Viatu vya kiume hauuzi kutoka uturuki?

Ninavyo vichache raba,
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
weka baadhi ya picha za sample na bei zake mtu akiona ina maslah anakutafta ila kuandka tu hv inakuwa story kama story zngne tu

Sawa

Magauni:
Adjustments.jpg

Bei: 45,000

Adjustments.jpg

Rangi😛ink, Yellow, na Green
Bei:40,000

IMG_8278.jpg

IMG_8297.jpg

17,500

IMG_8289.jpg

30,000

Simple:
136b8b29-bee4-4a9a-8871-782aeacb92c6.jpg


Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

8,000


Mikoba:
DC5B2C16-7073-4B40-B11C-9A77C9B1794B.jpg

Adjustments.jpg



Perfumes:
Adjustments.jpg

IMG_9416.jpg

dd1a165d-84c2-4120-a3ce-df4ba3e1a35d.jpg

Mils 50
Za kike na kiume
Aina mbalimbali: Al Oud, Al Wisal,Paris Hilton,Sabaia, Invictus, Lexzus, Roman, Anawel Shock, 212 Men,CK1, Lacoste White, Jasmine, Cobra,Escada, Givenchy....... na nyingine
Bei jumla 12,500 (50 Mils)
Rejareja: 20,000 (50 Mils)

+255 686 942 315
 
Back
Top Bottom