Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha blah! blah! Jikite kwenye mada kamandaYaani watu wanabadilisha tu njia ya matangazo lkn bado wale wale ukiambiwa kuna fufsa jua ww ndio fufsa jiongeze
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
mkuu mawasiliano tutakupataje
Ni shingapi kufungua kampuniJE, UNAHITAJI HUDUMA
KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship
HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)
KUANDIKA MEMORANDUM
KUANDAA TENDA
VISA YA KUSAFIRIA
CRB
USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii
TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA
Wasiliana nasi kwa # 0788104228
USHAURI NI BURE
Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
Habari Boss.Ni shingapi kufungua kampuni
Yenye mtaji wa 1M na je kampuni inaweza ikawa ina milikiwa na MTU moja tuu!?
Hiyo memorandum inatengenezwa kwa shingapiHabari Boss.
LTD company ndiyo kampuni yenye mtaji
Garama za Brela ni kama ifuatavyo
Mtaji wa -
20,000 - 1,000,000
Garama zake ni
97,000 + 66,000 + 5,000 + 1,200 =169,200
Mtaji wa 1M - 5M
Garama zake ni
175,00 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =247,200
Mtaji wa 5M - 20M
Garama zake ni
260,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =332,200
Mtaji wa 20M - 50M
Garama zake ni
290,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =362,200
Mtajia wa 50M na zaidi
Garama zake no
440,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =512,200
Vitu vinavyo takiwa kufungua ltd co.
1. Memorandum
2. Vitambulisho vya NIDA
3. TIN bunafsi kwa kika mkurugenzi
4. Anuani kamili kwa kila mkurugenzi
5. e-mail na namba za simu
Lazima iwe na watu 2 na kuendelea
Hiyo memorandum inatengenezwa kwa shingapi
Bei gani?natafuta connection ya kuuza hii mashine.Inafuma masweta, kofia n.k
0755868463
Tsh 500,000 tu mkuu.Bei gani?
Boss umesema LTD company ndiyo company yenye mtaji? Je, kuna company zisizo na mtaji?Habari Boss.
LTD company ndiyo kampuni yenye mtaji
Garama za Brela ni kama ifuatavyo
Mtaji wa -
20,000 - 1,000,000
Garama zake ni
97,000 + 66,000 + 5,000 + 1,200 =169,200
Mtaji wa 1M - 5M
Garama zake ni
175,00 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =247,200
Mtaji wa 5M - 20M
Garama zake ni
260,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =332,200
Mtaji wa 20M - 50M
Garama zake ni
290,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =362,200
Mtajia wa 50M na zaidi
Garama zake no
440,000 + 66,000 + 5,000 + 1,2000 =512,200
Vitu vinavyo takiwa kufungua ltd co.
1. Memorandum
2. Vitambulisho vya NIDA
3. TIN bunafsi kwa kika mkurugenzi
4. Anuani kamili kwa kila mkurugenzi
5. e-mail na namba za simu
Lazima iwe na watu 2 na kuendelea