Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Karibu sana sabuni za maji kwa matumizi ya kuogea
Sina harufu nzuri na zinauwezo wa kukuacha ukinukia baada ya kutumia zipo aina nne Strawberry, Vanilla, lemon Na Rose
Kwa Tsh 5,000
Location Mbezi Mwisho
Karibu sana
 
Karibu sana sabuni za maji kwa matumizi ya kuogea
Sina harufu nzuri na zinauwezo wa kukuacha ukinukia baada ya kutumia zipo aina nne Strawberry, Vanilla, lemon Na Rose
Kwa Tsh 5,000
Location Mbezi Mwisho
Karibu sana
Ungeweka na uhalisia wa picha waone.
 
Habari wakuu

Tunajihusisha na alluminium & welding works
-Tunatengeneza madirisha ya chuma,vitanda,mageti na mahitaji yote yanayohusu chuma na alluminium
-madirisha ya aluminium,milango na makabati pia tunatengeneza.
-tunafanya marekebisho ya nyavu,vioo vilivyo pasuka na mlango iliyoshuka,

Ofisi ipo mbezi-kimara ila sehem yoyote tunakufikia kwa ukaribu.

Cont-0685184123
 
Naomba connection nikusambazie KuKu wa kienyeji wa kubwa kama una supermarket au Hotel naweza kuandaa kwa kuchinja na kusafisha, Pia kama unahitaji dagaa nicheki tufanye biashara.

mzee dagaa w kutok wp uliokua nao?
 
Karibu nikupe application ya Netflix ambayo haina malipo ya kila mwezi, uangalie movie yeyote unayo itaka milele bila kulipia malipo ya mwisho wa mwezi.

(Kumbuka application ya kawaida itakudai malipo yasiyopungua elfu 20 kila mwezi ili uendelee kupata huduma ya kuangalia movie, ila hii ninayo kupa mimi haina hayo malipo ya kila mwezi, yaani ni BUUUREEEE kabisa)

Nitakupa application hii kwa 5000 tu.

Karibu Whatsapp 0620181872[emoji91][emoji91][emoji91]
 
KARIBU OMARY PACKAGING INDUSTRIES LTD (OPIL) YOUR FLEXIBLE PACKAGING PARTNER.

KWA VIFUNGASHIO BORA KABISA KUTOKA KWENYE MASHINE ZA KISASA KABISA KWA BEI RAFIKI.

KARIBU TUKUHUDUMIE :

NYERERE ROAD DAR ES SALAAM

P. O BOX 2517.

0654079136.View attachment 2335018View attachment 2335019View attachment 2335017View attachment 2335020View attachment 2335016
IMG-20220823-WA0006.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Waungwa nahitaji Connection ya Uwakala wa abishara, kama una biashara au bidhaa yako na unahitaji Wakala (Agent Commision based) mkoa wa Tanga na Wilaya zake. Mimi ni mwajiliwa huku.

Nauza mafuta ya nazi …extra virgin coconut oil kama uko interested njoo pm[emoji3060]
 
Hbr wakuuu
Nahitaji mtu nitakaeshirikiana nae kwny biashara (partner)
Kwa wakazi wa dar jinsia yyt mawasiliano #0685306663
 
Back
Top Bottom