Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

[emoji3581]Blender nzuri za Silver Crest Heavy duty
[emoji3581]Jagi moja
[emoji91]Bei 70,000 per piece
[emoji3581]Delivery tunafanya kwa garama za mteja
[emoji3581]Mikoani tunatuna kwa uaminifu sana
[emoji3581]Ofisi zipo Manzese Argentina
[emoji3581]Mawasiliano:0762370433/0714483172
Karibuni sanaView attachment 2418747
Other home Appliances unazouza ni zipi?..utaratibu wako wa kulipwa unakuaje?


#MaendeleoHayanaChama
 
Ipo Sokoni Honda XLR 250 ipo na hali nzuri na bei ya kawaida karibu tuzungumze biashara 0788507074View attachment 2423077View attachment 2423078
IMG_20221120_182735.jpg
 
Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa

Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks"

Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana nasi 0672883050
 
habari wadau nahitaji sehemu ya bar inayopangishwa iwe maeneo ya dar/morogoro,,

@0682549979
 

Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto

Kwa Mawasiliano 0656080608 OR 0622516506
 
Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto

Kwa Mawasiliano 0656080608 OR 0622516506
 
Habar Wakuu

Mimi Nashughurika na Uchinjaji wa Nguruwe Natafuta Tenda ya Order ya Nyama ya Nguruwe Kitimoto

Kwenye Majiko kwenye Mabucha na Majumbani Tunauza kwa bei ya Machinjioni kwa Ujumla

1 KG @8,000

FREE DELIVERY
Tunapatikana TEMEKE KEKO BORA Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa


Call 0656080608 OR 0622516506
JamiiForums-827822024.jpg
JamiiForums-1716294608.jpg
JamiiForums-233467283.jpg
 
Back
Top Bottom