kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Nimeziona bei zako nikajua tu huyu ni memberNdio naagiza mwenyewe boss. Karibu tuwasiliane 0762370433
Sent from my PBAM00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeziona bei zako nikajua tu huyu ni memberNdio naagiza mwenyewe boss. Karibu tuwasiliane 0762370433
Sent from my PBAM00 using JamiiForums mobile app
Mimi nahitaji producer, Nicheki PM mkuuNipo hapa kwa anayehitaji kijana wa audio/photo/video production
Mm hap nawez nichek 0621554787NAHITAJI MTENGENEZA MATANGAZO MADOGO, YA POWERPOINT KWAAJILI YA MITANDAONI
NICHEKI HAPA [emoji3596] [emoji3596][emoji3596]
Other home Appliances unazouza ni zipi?..utaratibu wako wa kulipwa unakuaje?[emoji3581]Blender nzuri za Silver Crest Heavy duty
[emoji3581]Jagi moja
[emoji91]Bei 70,000 per piece
[emoji3581]Delivery tunafanya kwa garama za mteja
[emoji3581]Mikoani tunatuna kwa uaminifu sana
[emoji3581]Ofisi zipo Manzese Argentina
[emoji3581]Mawasiliano:0762370433/0714483172
Karibuni sanaView attachment 2418747
Kwenye ku produce bado sina uzoefu wowote ila ni kitu ambacho nina mapenzi nacho nakipendaMimi nahitaji producer, Nicheki PM mkuu
Utaratibu wa kulipa unaweza ukaja kulipia dukani, au ukalipia kwa lipa namba boss.Other home Appliances unazouza ni zipi?..utaratibu wako wa kulipwa unakuaje?
#MaendeleoHayanaChama
Bei ganiHabari wakuu nauza mafuta ya alizeti nipo Dodoma
Nilikuwa naihitaji ila sina hiyo pesa kwasasa vipi unanisaidiaje?Machine ya icecream bado ipo, bei ya punguzo 1,800,000/= ni nzuri na ni kubwa mzabzab Financial Freedom na woote mnaohitaji karibuni sana
Wadau nauza korosho safi kubwa kilo ni 16000tsh mzigo upo mbagala kwa mawasiliano zaidi piga 0692550111
Bei gani?Ipo Sokoni Honda XLR 250 ipo na hali nzuri na bei ya kawaida karibu tuzungumze biashara 0788507074View attachment 2423077View attachment 2423078View attachment 2423079
Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Safi mnoooHabar Wakuu
Mimi Nashughurika na Uchinjaji wa Nguruwe Natafuta Tenda ya Order ya Nyama ya Nguruwe Kitimoto
Kwenye Majiko kwenye Mabucha na Majumbani Tunauza kwa bei ya Machinjioni kwa Ujumla
1 KG @8,000
FREE DELIVERY
Tunapatikana TEMEKE KEKO BORA Kama Unaelekea Uwanja wa Mkapa
Call 0656080608 OR 0622516506View attachment 2440555View attachment 2440556View attachment 2440558