We jamaa hamna tangazo la kureport kazini...ushaambiwa unatakiwa kwenda kureport kwenye halmashauri uliyopangiwa ndani ya siku 14 tangu post zitoke...sasa endelea kusubiri tangazo nafasi yako ijazweAtapata tangazo la ku report kazini ajira za walimu naomba share hapa