Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Itafika kipindi ndugu yangu yoyote akitaka kusomea uwalimu nitamshauri aishie level ya cheti.

maana nina dada yangu mpaka namuonea huruma since 2015 uwalimu shahada hajawahi kupata nafasi na ni sayansi.
Sidhani kama kuna sayansi 2015 aliyeachwa, labda haku apply
 
Mie na bachelor yangu ya HR ndo niponipo tu sina mwelekeo, heri yenu nyie walimu kazi zinatangazwa nafasi maelfu, sie huku ni maumivu tu.
 
Hadi 2026 huko ndo tutegemee aiseee 😂😂😂
Nimeona hadi uvivu kuendelea 😂😂😂
 
Mie na bachelor yangu ya HR ndo niponipo tu sina mwelekeo, heri yenu nyie walimu kazi zinatangazwa nafasi maelfu, sie huku ni maumivu tu.
Mkuu fani yako kazi zipo jiunge na magroup ya telegram
 
Mie na bachelor yangu ya HR ndo niponipo tu sina mwelekeo, heri yenu nyie walimu kazi zinatangazwa nafasi maelfu, sie huku ni maumivu tu.
Nipo group la wasap nadhani katika taaluma inaongoza kutangazwa nafasi za kazi baada ya sales and marketing inatuata hio HR ila ndio hivyo ubaya wake inahitaji mtu mmoja na experience
 
Atapata tangazo la ku report kazini ajira za walimu naomba share hapa
 
Back
Top Bottom