Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Kuna kijana alimalza diploma 2015, english histr, alikata tamaa kabsa,alkua anasaidia fund kujenga mtaan, mungu si athuman, kaaplai mara 7, ya 8 kapata, mbinga ruvuma ,secondary
Sahihi wife kaomba mara SITA mwaka Jana wenzake wakapata akakosa mwaka huu kapata
 
Tamisemi sijui wanatumia bigezo gan kuajiri Bora wale mawazir waliopita wa Tamisemi walikuwa wanaorodhesha ila huyu Kairuki sjawahi muelewa kabisa.
 
Tamisemi sijui wanatumia bigezo gan kuajiri Bora wale mawazir waliopita wa Tamisemi walikuwa wanaorodhesha ila huyu Kairuki sjawahi muelewa kabisa.
Mmhhh..nikisema ni connection sitakuwa na ushahidi..pengine ni pata potea.
 
Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
Tukishapata ajira si tunaruhusiwa ku left hii forum?
 
Tamisemi sijui wanatumia bigezo gan kuajiri Bora wale mawazir waliopita wa Tamisemi walikuwa wanaorodhesha ila huyu Kairuki sjawahi muelewa kabisa.
Kuna mtu kamaliza 2022 na ni arts,kapelekwa msingi ,wakati watu wa 2015 wapo wengi mnoo
 
Back
Top Bottom