Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Naamini wote tangazo tuliliona ? Na wote tunajua kusoma na tulilisoma vizuri , nasisitiza tena walimu wa arts geography , Kiswahili , history sijui Economics mlikuwa hamuitajiki hili lazima tuliseme tena tafadhari tusingependa kuona lawama zisizo na msingi ,hapa lazima wote tuelewane asanteni .
We nani bhn,mbwembwe kibaoooo..tuliza njegere hizo.
 
Mzee hizi ajira tunasema tuuh but demand inaweza kubadilikaaa hataa wa arts wanawezaa kuajiriwaa piaa mzee kikubwa tuuh Kutokataa tamaaa na kumuombaa Mungu incase ukipata na ukikosaa Mungu ana njiaa nyng za kukufanyaa uajiriwe regardless ya hii tamisemii
Namshangaa au hajui kuwa kuna watu wanaitwa ma refarii..
 
Lakini serikali mfumo huu wanaotumia kuajiri ni mzur sana, mfano, mwaka huu ajira nyng ni za 2018 kushuka, kwa 2019 ,20 na 21,22 labda physcs na mathe ,, ila kwa arts naona weng wamepigwa chini naona hayahitajiki tena hayo, kwasasa sayans ndio ya
 
Habari za majukumu
Mweny link ya waliochaguliwa ajira mpya tafadhali atuwekee humu
 
Namshangaa au hajui kuwa kuna watu wanaitwa ma refarii..
Jina jingine wanaitwa ni God father's (sijawahi sikia God mother's) au kifupi ni baba wa ubatizo na mama wa ubatizo, sasa wewe baba yako wa ubatizo ni nani anzia hapo
 
Dahhh..yaani kuna mdogo wangu kamaliza toka 2015 pale mlimani na GPA yake ya 4.2..wamekula tena kichwa..ameniambia nimuangalizie hadi nikawa natetemeka jinsi ya kumrudia na kumpa habari zisizo nzuri.

Hakuna mwenye uwezo wa kumsaidia huyu dogo (ashakuwa na familia tayari)? Dahh..nimesikitika sana.

Dah inauma sana lakini amtegemee Mungu tu
 
Back
Top Bottom