Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Dahhh..yaani kuna mdogo wangu kamaliza toka 2015 pale mlimani na GPA yake ya 4.2..wamekula tena kichwa..ameniambia nimuangalizie hadi nikawa natetemeka jinsi ya kumrudia na kumpa habari zisizo nzuri.

Hakuna mwenye uwezo wa kumsaidia huyu dogo (ashakuwa na familia tayari)? Dahh..nimesikitika sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu mpe pole ahsee siwapendi walimu ila lugha ulotumia nimepata simanzi
 
Mimi nimeshafua nguo na nategemea June 24 kulipoti kituo Cha kazi nikazoe mazingira. MASOMO yangu ni Swa na Hi. PDF linadondoshwa trh 14-18.
 
Jinsi watu walivochinjiliwa baharini,, hawana nguvu za ku reply huu uzi tenaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaaan twenden tukatafute hata kaz nyngne kwan sh ngapi🥲
Kaka kama.ww uligraduate 2021/2022 una bahat ukiwepo pale
 
Back
Top Bottom