Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Wengi tuu, na wengine pia wamechinjwa.Ajira mpya waliopata posho kweli ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi tuu, na wengine pia wamechinjwa.Ajira mpya waliopata posho kweli ?
Nani aliyechinjwa?Wengi tuu, na wengine pia wamechinjwa.
Nani tena? Yaani nitaje mtu?Nani aliyechinjwa?
Posho zinatolewa kwa awamu kulingana na halmashauri, wote mtapata.Nani tena? Yaani nitaje mtu?
Mkuu unazungumzia Posho au Salary?Posho zinatolewa kwa awamu kulingana na halmashauri, wote mtapata.
Posho/pesa ya kujikimuMkuu unazungumzia Posho au Salary?
Ahaa hio sawa, mi nilikua nazungumzia Salary ya Mwezi wa 6,Posho/pesa ya kujikimu
Uko sahihiAhaa hio sawa, mi nilikua nazungumzia Salary ya Mwezi wa 6,
Posho mbona bado, sidhani kama kuna waliopata.