Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimejikuta naanzisha huu Uzi maalumu baada ya kusikiliza kituo Fulani chenye wachambuzi wa mchongo wao ni kuponda timu hata ifanye mazuri gani.

Kiufupi hawajui chochote kuhusu mpira/football.

Wakuu njooni hapa mtaje wachambuzi makini na vituo vyao ili tukawasikilize wanaojua kuchambua mpira na siyo kuchambua wachezaji au timu kwa chuki na uzandiki.

Nawasilisha.
 
Wachambuzi 10 wa mpira Bora kwa sasa, sita taja vituo vyao........

1. George Ambangile.
2. Jemedari said kazumari.
3.Ramadhani MBWADUKE.
4. Nazareth Upete.
5. Abisay Steven.
6. Ibra Kasuga.
8. AMRI KIEMBA.
9. Rashid Seif.
10.Farhan kihamo.
11.mimi.

N:B.
RIP KASHASHA MTAALAM WA PHYSICAL EDUCATION..
 
Wachambuzi 10 wa mpira Bora kwa sasa, sita taja vituo vyao........

1. George Ambangile.
2. Jemedari said kazumari.
3.Ramadhani MBWADUKE.
4. Nazareth Upete.
5. Abisay Steven.
6. Ibra Kasuga.
8. AMRI KIEMBA.
9. Rashid Seif.
10.Farhan kihamo.
11.mimi.

N:B.
RIP KASHASHA MTAALAM WA PHYSICAL EDUCATION..
Jemedari hamna kitu mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
GEORGE AMBANGILE. full stop
Hivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.
 
Back
Top Bottom