NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Asante mkuu muda wao saa ngapi huyu.Ambangile wasafi FM
Nitamfatilia huyuGeorge Ambangile,
Wasafi FM,
Saa 2:30 Asubuhi hadi saa 5:00 Asubuhi.
Hapo akiwepo bwana mdogo amri kiemba huwa naburudika sana.Hakuna kama clouds fm
dAuda
Hakuna mchambuzi hapoBin kazumari jemedari
Mzee wa jambia oruma
Jemedari hamna kitu mkuuWachambuzi 10 wa mpira Bora kwa sasa, sita taja vituo vyao........
1. George Ambangile.
2. Jemedari said kazumari.
3.Ramadhani MBWADUKE.
4. Nazareth Upete.
5. Abisay Steven.
6. Ibra Kasuga.
8. AMRI KIEMBA.
9. Rashid Seif.
10.Farhan kihamo.
11.mimi.
N:B.
RIP KASHASHA MTAALAM WA PHYSICAL EDUCATION..
Hapo Safi sana mkuu amri kiemba asipokuwepo huwa naona hakuna haja yakusikiliza mpiraAmri Kiemba
Dickson Mpilipili
Hivi huyu ndiye yule alikuwaga kijana mdogo miaka ya 2000's akawa anacheza mpira nje ya nchi na kuna kipindi fulani alishirikishwaga kwenye tangazo la cement akiwa bado mdogo zilizochapiwa na cement toka kampuni tofauti. akipiga mpira kwenye nyumba mbili tofauti Nyumba moja haikuwa imetengenezwa kwa cement imara baada ya kupiga mpira cement ikabanduka na nyingine ilitengenezwa kwa cement imara ya kampuni iliyompa tangazo baada ya kupiga mpira, cement ilikuwa imara kwenye ukuta wa nyumba.GEORGE AMBANGILE. full stop