NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #61
Ngoja tumpe sikio bwana mdogo.Abisai Steven Jr.. dogo anajua
Anajua..sema amezungukwa na mediocre. Angekuwa na Ambangile pale Wasafi angefana sana
[emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia
YouTube Channel: Data Sports Tv
mfuatilie na MbwadukeMchambuzi wa mpira nchi hii ni mmoja tu George ambagile wengine wote waliobaki ni watangazaji tu au ma reporter wa habari.
George ambagile yeye amejikita ktk kuuchambua mpira tu kiufundi na hafanyi siasa za mpira.
George ambagile ndo mchambuzi pekee anaeweza kuichambua game baada ya dk 90 kiufundi na ukaelewa mbinu zilizokuwa zinatumika uwanjani ila hawa wengine hawana jicho la uchambuzi wa game na hawajui kuchambua mpira.
Kweli huyo nae ni mzuri anaujua mpira. Kwa maana alicheza.Mchambuzi alikuwa Ali Mayai Tembele! Mkurugenzi wa michezo kwa Sasa!!
Amri ni utopolo mtupuHapo akiwepo bwana mdogo amri kiemba huwa naburudika sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Teacher tigana lukinja yupo TVE/EFM jtatu ijumaa saa sita hadi tisaGeorge ambangile wasafi f.m
Teacher tigana lukinja saizi cjui yukwap ila alikuwa eatv mara ya mwisho
Ila muongoza kipindi bora cha michezo ni lumbago clouds
Yupo sahihi maana mchambuzi unatakiwa kuwa neutralAmbagile ni mchambuzi mzuri ila sanasana soka la ulaya, maana bongo anawaogopa mashabiki wa Simba na Yanga ndio maana ulaya kajiweka wazi yeye ni Man united ila hapa ameshindwa kutaja yeye ni timu gani, na hata akitaja anaweza taja Tukuyu stars huko , sio simba au Yanga[emoji1]
Huyo dogo Hana usimba na uyanga.Kuna dogo mmoja yupo kili fm moshi kinyasi ni hatari
Mbona kwa timu za ulaya kajiweka wazi?Yupo sahihi maana mchambuzi unatakiwa kuwa neutral
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu ameshindwa ku balance unazi na kazi Geoff leya ni simba but ana balance ni uzao wa ruge mutahaba.RIPJamedari saidi E-Fm