Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Uzi maalumu wa kutaja wachambuzi makini wenye weledi wa soka na vituo vyao wanavyofanya kazi ili tukawasikilize

Clouds fm huwa sikosi.Pale Edgar Kibwana na wale reporter wao wa Kutoka Uk na yule dada reporter wao kutoka Ufaransa.
 
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE
RAMADHAN MWADUKE

Uchambuzi wa Jamaa ni balaa, No blaablaa full of statistics na mbinu timu, makocha nk. Wanazotumia

YouTube Channel: Data Sports Tv
[emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]
 
Mchambuzi wa mpira nchi hii ni mmoja tu George ambagile wengine wote waliobaki ni watangazaji tu au ma reporter wa habari.

George ambagile yeye amejikita ktk kuuchambua mpira tu kiufundi na hafanyi siasa za mpira.

George ambagile ndo mchambuzi pekee anaeweza kuichambua game baada ya dk 90 kiufundi na ukaelewa mbinu zilizokuwa zinatumika uwanjani ila hawa wengine hawana jicho la uchambuzi wa game na hawajui kuchambua mpira.
mfuatilie na Mbwaduke
 
George ambangile wasafi f.m
Teacher tigana lukinja saizi cjui yukwap ila alikuwa eatv mara ya mwisho

Ila muongoza kipindi bora cha michezo ni lumbago clouds
Teacher tigana lukinja yupo TVE/EFM jtatu ijumaa saa sita hadi tisa
 
Ambagile ni mchambuzi mzuri ila sanasana soka la ulaya, maana bongo anawaogopa mashabiki wa Simba na Yanga ndio maana ulaya kajiweka wazi yeye ni Man united ila hapa ameshindwa kutaja yeye ni timu gani, na hata akitaja anaweza taja Tukuyu stars huko , sio simba au Yanga[emoji1]
 
Yupo sahihi maana mchambuzi unatakiwa kuwa neutral

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1.GEORGE AMBANGILE
2.EDDO KUMWEMBE
3.SHAFFIH DAUDA
4.ABISAY STEVEN
5.IBRAHIM KASUGA
6.AMRI KIEMBA
7.NAZARETH UPETE
8.FARHAN KIHAMO
9.GEORGE JOB
10.ALLY MAYAI KILA LA KHERI POPOTE ULIPO
 
Back
Top Bottom