Uzi maalumu wa kutaniana na mtani wako hapa Jf

we jamaa bana yaΓ ni unawachana watu ukweli alafu unajificha kwenye kichaka cha matani

Na hapo Kazunguka tu huku na kule kama ' drones ' za BBC ila Mlengwa wake mkubwa katika kuyapiga hayo ' Madongo ' yake ni Mimi na ' dongo ' lake limeniingia Kunakotukuka kabisa.

Mpe Shikamoo kwa niaba yangu tafadhali.
 
Mh
 
Kanungila Karim mbona ile dp yetu umevaa miwani ya fundi welding umeitoa? Au kelele zimezidi toka kwa lucas mobutu.

Padri Mcharo (katibu mwenezi wa wapiga nyeto) umeacha kipiga kampeni za nyeto? An ndo umesusia kama chadema kuhishiriki kwenye chaguzi.

Money Penny, usiache kuja kuniwekea dhamana central.

yna2 sijakusahau, utakuja kuniua na dp yako
 
Hahahaaa. Niziweze wapi Sesten mie na mwili huu?

Nimejivimbisha hapa kwa sababu we upo ujue. 😜😜😜
Hahahaaa, ulinzi tu, umepeta mamii shaka ondoa

Wee watanie na wachokozage watani zako hasa wasukuma, ingawa nasikia msukuma hainui mkono kumpiga mwanamke! au sijui nilidanganywa Hajar πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…