Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

Subiri mrejesho baadae sasahivi tupo busy, kimara kama GAZA tu
 

Attachments

  • bbcswahili-20251029-0001.mp4
    4.3 MB
Oya unatumia VPN ipi naona 7PM
 
walomsikiliza huyu manzi walikosea sana! Ila afadhali kwetu Tarime hatunaga ufala kama huo! yaani nitoke bila silaha?
 
Back
Top Bottom