Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama wanavyodai .
Ila member Wenye akili na maono ya mbali kama vile Maghayo Lucha secretarybird Robert Heriel Mtibeli Shammy- Mbaga Jr GENTAMYCINE Stuxnet makaa ya mawe Magonjwa Mtambuka Scouser Nyani Ngabu na wengineo walionya na kuwaambia mapema kuwa kawaida ya wabongo na kutokana na hali ilivyo hakuna kitakachotokea siku hiyo na kuamini wabongo kukinukisha katika "Disorganized protest" ni false hope ila wakabusha na kuendelea kupiga mikwara ya mbusi kuwa safari hii habaki mtu .
Sasa mechi haijaisha ila ubao unasoma Mama 5 - Waandamanaji 0 tunasubiri kama kutakuwa na comeback ya ddk za jioni .
Hapa tuwatag Keyboard warriors tujikumbushe vituko na mikwara Yao Vilevile watupe updates wanapokiwasha , naanza na hawa 👇👇
1. and 100 others , huyu mwamba alikuwa anashambulia kwenye keyboard kama Ayatollah Tehran alivyokuwa anapeleka ballistic missile kwa Wahayudi sijui sasa anakiwasha wapi live.
2. Lord Denning , huyu mwamba apewe tuzo mwezi mzima alikuwa anasambaza ujumbe mmoja kwenye keyboard na kukopi kila Uzi kuhusu maelekezo jinsi ya kukiwasha MO29 , Leo atupe updates anakiwasha akiwa wapi
3. 404 Pages , huyu mwamba alikuwa anawachana wenzake waliyokuwa wanaonyesha kusita kuwa musiuziwe uoga , sasa Leo sijui ameuziwa au la
4. Kalamu , huyu member mkongwe alikuwa mstari wa mbele kutuaminisha kuwa safari hii utawala hawaponi .
5. Mjusi Sharobalo , kijana chipukizi alikuwa bonge la asset kwa mashambulizi ya pembeni kama winga kuwa atakinukisha vibaya mno .
6. Busu la Kenge , mwamba Myebusi yeye alikuwa anatoa pasi za kisigino kwenye keyboard kuwa hakubali atakiwasha , sasa sijui kama alimaanisha atawasha bange zake au vipi ?🤣😆
7. Mshana Jr , allipewa kitengo cha ulozi kuhakikisha askari wanapagawa siku hiyo .
8. City Thunder OKC , jamaa alituhakikishia kuwa Leo lazima mtu akimbilie uhamishoni Oman , dah false hopes nyingine bhana 🤣😄
9. Endeleeni kuwatag wengine
Uzi bado unaendelea nitaleta na screenshot zao mujionee vituko na mikwara yao live waliyokuwa wanatamba siku za nyuma .
Uzi huu umeletwa kwa hisani ya BICHWA KOMWE - na wanamtandao wa GMG (Ghayos Mongolian Gang)