Mchukue huyo kelvin Nashon halafu utakuja kunishukuru baadae
Huyo ndo kile kizazi cha akina Job,kibwana,Mshery,Kibabage,kabwili........kiungo mkabaji wao alikuwa Kelvin Nashon ile U-17 ya coach Kim Poulsen
Kuna huyo aziz anacheza beki na kiungo mkabaji kama uliangalia game Yanga na mbeya city kwa mkapa alikichafua sanaMchukue huyo kelvin Nashon halafu utakuja kunishukuru baadae
Huyo ndo kile kizazi cha akina Job,kibwana,Mshery,Kibabage,kabwili........kiungo mkabaji wao alikuwa Kelvin Nashon ile U-17 ya coach Kim Poulsen
Na Rivers wakija kutufumua tena.Unasajili vp bila kocha?
Bongo bhana, hata huko Ulaya Kocha akitimuliwa yule anayeletwa huwa anakuja kunusuru timu, na hatua ya kwanza ni kuwajengea wachezaji imani tu wapambane na sio mbinu zake.
Mbinu huendana na aina ya Wachezaji, mfano Kibu Denis kwa namna anavyocheza, kujiposition unaina kabisa kwa Nabi hawezi cheza kabisa, pia ukija kwa Pablo ukimchukua Kiungo kama Aucho au Chama kwa kocha kama Pablo hawezi kitoboa maana Pablo anapenda viungo wenye kuwa na speed na nguvu nk.
Hivyo Simba wangeanza na Kocha kisha kocha, aingalie Simba katika angle zote, yaan ile Simba ambayo inafungwa kizembe, na ile ambayo inapambana kwa jasho na damu, kupitia hapo kocha atajua ni wachezaji gani wanabaki katika kiwango chao, iwe wamefungwa au kushinda. Hapo ndipo maboresho ya kikosi hutokea.
Kwa usajili huu ni wazi sasa Simba inarudi ilipotoka Yanga ambapo walikuwa wanasajili kwa mihemko, msimu unaoisha huu Yanga imesajili wachezaji ambao sio tu kocha alijaribu kuwaona bali alipendekeza kutoka ukanda wetu huu huu wa Afrika Mashariki.
Simba wasisajili kama Ndondo Cup, watulie, natamani sana kuona Simba na Yanga zote zikifika hatua ya Makundi this time na ikiwezekana Nusu Fainali ya CCL. Ila mikurupuko hii naona kabisa Jwaneng wanakuja kutufumua hapa hapa tena.
Honest, this time Yanga wana wachazaji wenye ushindani mkubwa mno. Sioni tatizo kabisa kwenye kikosi kile, Nafasi ya Saido/Yacouba yuko Kambole, Upande wa Moloko yuko pia Ki Aziz.
kijana lazima arudi unyamani,Kaizer Chiefs hawapo mashindano CafView attachment 2248313
Vyanzo vinadai kwamba Al Ahly wanataka kumtoa Miquisone kwa mkopo. Simba wameonesha nia ya kutaka kumchukua ingawa inaelezwa pia Kaizer Chiefs wanamtolea macho. Kwa sasa Miquisone ni majeruhi.
Kazi itabaki mikononi mwa viongozi wa Simba.
Ngoja msimu wa CACL uanze tuone, maana sidhani kama inaweza kuwa kikosi imara kuliko Mamelod ambayo kwa miaka kadhaa imeshindwa kutoboa kwenda nusu fainali tangu ichukue kombe 2016.Honest, this time Yanga wana wachazaji wenye ushindani mkubwa mno. Sioni tatizo kabisa kwenye kikosi kile, Nafasi ya Saido/Yacouba yuko Kambole, Upande wa Moloko yuko pia Ki Aziz.
Beki wa kushoto amepatikana yule Kutoka Uganda. Waboreshe kidogo mno pale katikati maana, Aucho huwa yuko jirani na majeraha mara kwa mara.
Tungiweka ushabiki Pembeni, YANGA ni BORA kuizidi SIMBA karibu katika idara zote, na Kama utachukua vikosi vyote viwili kuunda timu 1 basi Yanga itatoa wachezaji kufikia 9 kwenye hiko kikosi cha Pamoja. Hata kocha aje nani atafanya hivyo.
Kwanza uwe na kikosi bora halafu bahati na mambo mengine ndio yanafuata......uwe na quality ya kutosha kwenye kikosi chako kwanzaNgoja msimu wa CACL uanze tuone, maana sidhani kama inaweza kuwa kikosi imara kuliko Mamelod ambayo kwa miaka kadhaa imeshindwa kutoboa kwenda nusu fainali tangu ichukue kombe 2016.
Mashindano ya CAFCL& CAFCC sio tu kuwa na kikosi bora.
Kajamaa kataahira sana kale!Ahmed Ally kaongea shombo kuwa hawasajili mchezaji ambae hajafika Robo Fainal CAF,watu wakamuuliza wakina Kibu,Gadiel,Mhilu na wengineo walifika Robo final ipi ya CAF,kakimbia akaunti yake.
Nani? Mama yako?Ndio uyo mwenye nguo nyekundu?
View attachment 2267699
Rasmi: Habib Kyombo ni Singida BIG STAR๐ป๐๐ฅ
Karibu fundi wa mpira uitumikie klabu yako pendwa katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).
Kibu anaenda wapi tena ..... Kibu diii kibu deeee.....Unaambiwa wachezaji hawa wanaweza kuiacha simba msimu ujao
Players who could leave ๐น๐ฟ Simba SC at the end of the season:
๐ฒ๐ผ Banda
๐จ๐ฎ Wawa
๐บ๐ฌ Lwanga
๐ท๐ผ Kagere
๐จ๐ฉ Mugalu
๐น๐ฟ Kibu
๐ฐ๐ช Onyango
๐ฌ๐ญ Morrison (gone already)
Source: Mickyjnr
Kupata vichekesho kama hivi Tume meseji VICHEKESHO kwenda 15444Klabu ya Mamelod Sundown inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji machachari JOHN BOCCO kutoka klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.
Kwa namna Kelvin Nashon anavyocheza, akisajiliwa Yanga, atafit kwenye mfumo wa uchezaji wa timu kwa 100%.Viungo wa kati.!
-Kelvin Nashon
-Azeez Andambwile
-Baraka Majogoro
--Hassan Nassoro
-Gustapha Simon
Mchezaji gan ungetamani timu yako imsajili
Hivi mchezaji akitokewa kwa mkopo, anayemlipa ni yupi kati ya timu ya iliyompeleka mkopo au iliyomchukua kwa mkopo?View attachment 2248313
Vyanzo vinadai kwamba Al Ahly wanataka kumtoa Miquisone kwa mkopo. Simba wameonesha nia ya kutaka kumchukua ingawa inaelezwa pia Kaizer Chiefs wanamtolea macho. Kwa sasa Miquisone ni majeruhi.
Kazi itabaki mikononi mwa viongozi wa Simba.
Huku ataimarika walau kwa msimu mwingine tena. Baada ya hapo, labda anaweza kurudi katika enzi zake zile akiwa Mbao Fc.View attachment 2267699
Rasmi: Habib Kyombo ni Singida BIG STAR๐ป๐๐ฅ
Karibu fundi wa mpira uitumikie klabu yako pendwa katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).
Kunakuwepo na makubaliano ya pande 2! Umlipe wewe unaye mmiliki, alipwe na timu inayomchukua kwa mkopo, au mchangie kumlipa wote wawili.Hivi mchezaji akitokewa kwa mkopo, anayemlipa ni yupi kati ya timu ya iliyompeleka mkopo au iliyomchukua kwa mkopo?
Shukrani mkuuKunakuwepo na makubaliano ya pande 2! Umlipe wewe unaye mmiliki, alipwe na timu inayomchukua kwa mkopo, au mchangie kumlipa wote wawili.