Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Ki as in "kiuno".Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea SimbaView attachment 2257883
Alikuwa anakata mauno tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki as in "kiuno".Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea SimbaView attachment 2257883
Huyu sio lile central foward la waydady Casa?Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea SimbaView attachment 2257883
Huyu sio lile central foward la waydady Casa?Ni hii hapa Kii akisaini kuichezea SimbaView attachment 2257883
CAF wenyewe tulikuwa tunawadai kwa maana hawakutulipa mabilioni ya kuingia robo final na hivyo walizitekenya kidogo na mhamala mkuu ulibaki palepale.Wewe Zile Million 23 Za Fine Kutoka CAF Kwa Kufanya Ushirikina Kwenye Uwanja Wa Watu Mmeshazilipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh!....Wewe??
Miaka mitano lazima uchanganyikiwe kwa mambo madogo vipi magoli ya sakho master si utachanganyikiwaLile goal la Feisal dhidi ya Simba pale kirumba tar 28.5.......ukiliangalia kwa muda wa masaa matano mfululizo,linapunguza maumivu,makasiriko,upumbavu na ujinga ulionao na uliokithiri
Zingatia ushauri unaopewa
Vip Nasma miaka mitano iliyopita ni mingi sanaTehtehteh mheshimiwa kolo unapata mateso makubwa sana na bado,ningekushauri uachane na mambo ya football kwa hii miaka 5 inayokuja utapata kisukali ukiwa bado kijana mdogo
Huyo sakho alimfunga nani?Miaka mitano lazima uchanganyikiwe kwa mambo madogo vipi magoli ya sakho master si utachanganyikiwa
Aisee! Msajilini haraka Sana ni mchezaji mzuri mno atawasaidia.Rasmi Striker hatari kutoka Zambia, na aliyemaliza mkataba wake kwenye Klabu ya Kaizer Chiefs Lazarous Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka 3!
Shughuli haikua nyepesi kwa Yanga kumnasa mshambuliaji huyo hatari kabisa wa Zambia kutokana na upinzani mkali iliyo upata kutoka kwa Klabu yake ya zamani ya Zesco! Ila kutokana na nguvu ya pesa, Yanga ikafanikiwa kumpa mkataba.
Na huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Hakika Yanga ya msimu ujao, itakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuzidi hata Yanga ya msimu huu!
Hongereni utoAisee! Msajilini haraka Sana ni mchezaj
Asante mkuu .Hongereni uto
free transfer na magoli mawili msimu mzima.Rasmi Striker hatari kutoka Zambia, na aliyemaliza mkataba wake kwenye Klabu ya Kaizer Chiefs Lazarous Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka 2!
Shughuli haikua nyepesi kwa Yanga kumnasa mshambuliaji huyo hatari kabisa wa Zambia kutokana na upinzani mkali iliyo upata kutoka kwa Klabu yake ya zamani ya Zesco! Ila kutokana na nguvu ya pesa, Yanga ikafanikiwa kumpa mkataba.
Na huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Hakika Yanga ya msimu ujao, itakuwa ni 🔥🔥🔥 kuzidi hata Yanga ya msimu huu!
Wakati mwingine mchezaji mzuri anaweza kushindwa kufunga magoli mengi, siyo kwa sababu hajui! La hasha. Inawezekana ni kutokana na mfumo wa mwalimu wa wakati huo.free transfer na magoli mawili msimu mzima.
Mkuu kumbuka Mayele hakuwa na msaidizi, embu fikiria mechi kama ile Nabi anaamua kucheza na double striker ili kuwa win Simba lakini Makambo akawa ni mzigo haswa. Yanga kwa mbele walikuwa bado na uhitaji wa mtu wa kusaidiana na MayeleMbona Yanga wanaogopesha hizi tetesi za usajili?
Kama naona Yanga wanatafuta inawekana Mayele akaondoka.
Watuambie kondeboy alitoka na goli ngapi mamelod?Wakati mwingine mchezaji mzuri anaweza kushindwa kufunga magoli mengi, siyo kwa sababu hajui! La hasha. Inawezekana ni kutokana na mfumo wa mwalimu wa wakati huo.