Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

Wewe Zile Million 23 Za Fine Kutoka CAF Kwa Kufanya Ushirikina Kwenye Uwanja Wa Watu Mmeshazilipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh!....Wewe??
CAF wenyewe tulikuwa tunawadai kwa maana hawakutulipa mabilioni ya kuingia robo final na hivyo walizitekenya kidogo na mhamala mkuu ulibaki palepale.
 
Lile goal la Feisal dhidi ya Simba pale kirumba tar 28.5.......ukiliangalia kwa muda wa masaa matano mfululizo,linapunguza maumivu,makasiriko,upumbavu na ujinga ulionao na uliokithiri

Zingatia ushauri unaopewa
Miaka mitano lazima uchanganyikiwe kwa mambo madogo vipi magoli ya sakho master si utachanganyikiwa
 
Tehtehteh mheshimiwa kolo unapata mateso makubwa sana na bado,ningekushauri uachane na mambo ya football kwa hii miaka 5 inayokuja utapata kisukali ukiwa bado kijana mdogo
Vip Nasma miaka mitano iliyopita ni mingi sana
 
Striker Lazarous Kambole wa Zambia aliyekuwa anachezea Kaizer Chiefs naye ameshasinya miaka 2 Jangwani!

Dah! Yanga ya msimu ujao, itatisha sana aisee!
 
Rasmi Striker hatari kutoka Zambia, na aliyemaliza mkataba wake kwenye Klabu ya Kaizer Chiefs Lazarous Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka 2!

Shughuli haikua nyepesi kwa Yanga kumnasa mshambuliaji huyo hatari kabisa wa Zambia kutokana na upinzani mkali iliyo upata kutoka kwa Klabu yake ya zamani ya Zesco! Ila kutokana na nguvu ya pesa, Yanga ikafanikiwa kumpa mkataba.

Na huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.

Hakika Yanga ya msimu ujao, itakuwa ni 🔥🔥🔥 kuzidi hata Yanga ya msimu huu!
 
Rasmi Striker hatari kutoka Zambia, na aliyemaliza mkataba wake kwenye Klabu ya Kaizer Chiefs Lazarous Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka 3!

Shughuli haikua nyepesi kwa Yanga kumnasa mshambuliaji huyo hatari kabisa wa Zambia kutokana na upinzani mkali iliyo upata kutoka kwa Klabu yake ya zamani ya Zesco! Ila kutokana na nguvu ya pesa, Yanga ikafanikiwa kumpa mkataba.

Na huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.

Hakika Yanga ya msimu ujao, itakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuzidi hata Yanga ya msimu huu!
Aisee! Msajilini haraka Sana ni mchezaji mzuri mno atawasaidia.
 
Rasmi Striker hatari kutoka Zambia, na aliyemaliza mkataba wake kwenye Klabu ya Kaizer Chiefs Lazarous Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka 2!

Shughuli haikua nyepesi kwa Yanga kumnasa mshambuliaji huyo hatari kabisa wa Zambia kutokana na upinzani mkali iliyo upata kutoka kwa Klabu yake ya zamani ya Zesco! Ila kutokana na nguvu ya pesa, Yanga ikafanikiwa kumpa mkataba.

Na huu ni usajili wa pili bila shaka kwa wachezaji wa kigeni baada ya siku chache zilizopita kumsajili Azizi Ki kutoka Asec Mimosa ya Ivory Coast.

Hakika Yanga ya msimu ujao, itakuwa ni 🔥🔥🔥 kuzidi hata Yanga ya msimu huu!
free transfer na magoli mawili msimu mzima.
 
Mbona Yanga wanaogopesha hizi tetesi za usajili?
Kama naona Yanga wanatafuta inawekana Mayele akaondoka.
 
Wakati mwingine mchezaji mzuri anaweza kushindwa kufunga magoli mengi, siyo kwa sababu hajui! La hasha. Inawezekana ni kutokana na mfumo wa mwalimu wa wakati huo.
 
Mkuu kumbuka Mayele hakuwa na msaidizi, embu fikiria mechi kama ile Nabi anaamua kucheza na double striker ili kuwa win Simba lakini Makambo akawa ni mzigo haswa. Yanga kwa mbele walikuwa bado na uhitaji wa mtu wa kusaidiana na Mayele

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine mchezaji mzuri anaweza kushindwa kufunga magoli mengi, siyo kwa sababu hajui! La hasha. Inawezekana ni kutokana na mfumo wa mwalimu wa wakati huo.
Watuambie kondeboy alitoka na goli ngapi mamelod?
 
Back
Top Bottom