Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale ya Stephen Aziz Ki! Ni mwendo tu wa kula kwa macho.View attachment 2267833
TETESI
Baada ya dili la Simba na mshambuliaji wa Vipers United , Caesar Manzoki kusuasua .Klabu ya Simba imeonesha nia ya umsajili mshambuliaji wa Ashanti Gold ya Ghana, Yaw Annor ambaye amemaliza akiwa mfungaji bora ya Ligi Kuu ya Ghana akiwa na magoli 22 , msimu wa 2021/22.
Mpango wa Simba sc kumsajili Manzoki unatajwa kuwa bado upo ila Annor ni chaguo la pili kwa mahitaji ya kikosi chao cha msimu ujao.
Je, ni Manzoki au Annor , tuendelee kula mtori
"awana ela" rudi shule kajifunze kwanza kuandika ili kuficha ujinga wakoSimba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.
Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.
Unapitia wakati mgumu sana kipindi hiki pole sana .."awana ela" rudi shule kajifunze kwanza kuandika ili kuficha ujinga wako
Analijua goliView attachment 2267833
TETESI
Baada ya dili la Simba na mshambuliaji wa Vipers United , Caesar Manzoki kusuasua .Klabu ya Simba imeonesha nia ya umsajili mshambuliaji wa Ashanti Gold ya Ghana, Yaw Annor ambaye amemaliza akiwa mfungaji bora ya Ligi Kuu ya Ghana akiwa na magoli 22 , msimu wa 2021/22.
Mpango wa Simba sc kumsajili Manzoki unatajwa kuwa bado upo ila Annor ni chaguo la pili kwa mahitaji ya kikosi chao cha msimu ujao.
Je, ni Manzoki au Annor , tuendelee kula mtori
Simba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.
Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.
View attachment 2274304
Imeelezwa Simba ipo kwenye mpango wa kumsajili Harrison Mwendwa
Simba tayari imefanikisha usajili wa kimyakimya wa wachezaji wanne pekee ambao ni Mzambia, Moses Phiri [emoji1268] aliyetambulishwa tayari wengine Mnigeria Victor Akpan [emoji1184] Mghana Augustine Okrah [emoji1110] na Nassoro Kapama.
Taarifa ambazo imezipata gazeti la Championi, upo uwezekano mkubwa wa winga kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo, kama mazungumzo yakifikia pazuri kati ya menejimenti yake na Simba.
Mtoa taarifa huyo alisema kuwa winga atasaini mkataba wa muda huo kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika wa kuichezea Klabu ya Kabwe Warriors ya Zambia.
Aliongeza kuwa winga huyo mara baada ya kutua nchini, haraka aliopokelewa na baadhi ya viongozi wa Simba na kupelekwa kwenye moja ya hoteli kubwa tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo hayo.
“Mwendwa amewasili nchini asubuhi ya leo (jana) akitokea mapumzikoni nchini kwao Kenya baada ya Ligi ya Zambia kumalizika akicheza katika klabu ya Kabwe Warriors.
“Na ametua kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kusaini mkataba baada ya Simba kuonyesha nia ya kuhitaji saini yake
Hujui kuandika awana elaSimba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.
Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.