Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

1655875912105.png

Simba wanadaiwa kumuongezea miaka miwili
 
Diarra
D. Job
B. Mwamnyeto
Y. Bangala
D. Shaban
K. Aucho
F. Salum
K. Aziz
B.Morrison
F.Mayele
L.Kambole
Our line up right now
 
View attachment 2267833

TETESI

Baada ya dili la Simba na mshambuliaji wa Vipers United , Caesar Manzoki kusuasua .Klabu ya Simba imeonesha nia ya umsajili mshambuliaji wa Ashanti Gold ya Ghana, Yaw Annor ambaye amemaliza akiwa mfungaji bora ya Ligi Kuu ya Ghana akiwa na magoli 22 , msimu wa 2021/22.

Mpango wa Simba sc kumsajili Manzoki unatajwa kuwa bado upo ila Annor ni chaguo la pili kwa mahitaji ya kikosi chao cha msimu ujao.

Je, ni Manzoki au Annor , tuendelee kula mtori
Yale yale ya Stephen Aziz Ki! Ni mwendo tu wa kula kwa macho.
 
Simba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.

Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.
"awana ela" rudi shule kajifunze kwanza kuandika ili kuficha ujinga wako
 
View attachment 2267833

TETESI

Baada ya dili la Simba na mshambuliaji wa Vipers United , Caesar Manzoki kusuasua .Klabu ya Simba imeonesha nia ya umsajili mshambuliaji wa Ashanti Gold ya Ghana, Yaw Annor ambaye amemaliza akiwa mfungaji bora ya Ligi Kuu ya Ghana akiwa na magoli 22 , msimu wa 2021/22.

Mpango wa Simba sc kumsajili Manzoki unatajwa kuwa bado upo ila Annor ni chaguo la pili kwa mahitaji ya kikosi chao cha msimu ujao.

Je, ni Manzoki au Annor , tuendelee kula mtori
Analijua goli
 
Simba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.

Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.

Nitajie mchezaji ambaye utopolo kasajili kwa kuvunja mkataba
 
1655992616901.png

Baada ya kudaiwa kuwapo kwa purukushani za kuongeza mkataba, Taarifa zilizopo kuwa jamaa kakubali kuongeza miaka miwili Msimbazi.

Vipi ni uamuzi sahihi?
 
1656330091929.png

Inasemekeana Jamaa ameshaaga Vipers ya Uganda. Huenda huyu mwamba akatua Simba Sports Club
 
1656330214473.png

ALIYETAJWA KUTUA SIMBA SYLLA ASAJILIWA URENO

Baada ya kutajwa sana kutakiwa na kujiunga baadhi ya klabu za hapa nchini, kiungo Morlaye Sylla wa klabu ya Horoya amejiunga na klabu ya Arouca ya nchini Ureno
 
1656330322646.png

Imeelezwa Simba ipo kwenye mpango wa kumsajili Harrison Mwendwa

Simba tayari imefanikisha usajili wa kimyakimya wa wachezaji wanne pekee ambao ni Mzambia, Moses Phiri 🇿🇲 aliyetambulishwa tayari wengine Mnigeria Victor Akpan 🇳🇬 Mghana Augustine Okrah 🇬🇭 na Nassoro Kapama.

Taarifa ambazo imezipata gazeti la Championi, upo uwezekano mkubwa wa winga kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo, kama mazungumzo yakifikia pazuri kati ya menejimenti yake na Simba.

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa winga atasaini mkataba wa muda huo kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika wa kuichezea Klabu ya Kabwe Warriors ya Zambia.

Aliongeza kuwa winga huyo mara baada ya kutua nchini, haraka aliopokelewa na baadhi ya viongozi wa Simba na kupelekwa kwenye moja ya hoteli kubwa tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo hayo.

“Mwendwa amewasili nchini asubuhi ya leo (jana) akitokea mapumzikoni nchini kwao Kenya baada ya Ligi ya Zambia kumalizika akicheza katika klabu ya Kabwe Warriors.

“Na ametua kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kusaini mkataba baada ya Simba kuonyesha nia ya kuhitaji saini yake
 
View attachment 2274304
Imeelezwa Simba ipo kwenye mpango wa kumsajili Harrison Mwendwa

Simba tayari imefanikisha usajili wa kimyakimya wa wachezaji wanne pekee ambao ni Mzambia, Moses Phiri [emoji1268] aliyetambulishwa tayari wengine Mnigeria Victor Akpan [emoji1184] Mghana Augustine Okrah [emoji1110] na Nassoro Kapama.

Taarifa ambazo imezipata gazeti la Championi, upo uwezekano mkubwa wa winga kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo, kama mazungumzo yakifikia pazuri kati ya menejimenti yake na Simba.

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa winga atasaini mkataba wa muda huo kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika wa kuichezea Klabu ya Kabwe Warriors ya Zambia.

Aliongeza kuwa winga huyo mara baada ya kutua nchini, haraka aliopokelewa na baadhi ya viongozi wa Simba na kupelekwa kwenye moja ya hoteli kubwa tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo hayo.

“Mwendwa amewasili nchini asubuhi ya leo (jana) akitokea mapumzikoni nchini kwao Kenya baada ya Ligi ya Zambia kumalizika akicheza katika klabu ya Kabwe Warriors.

“Na ametua kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kusaini mkataba baada ya Simba kuonyesha nia ya kuhitaji saini yake

Huyu si ndiye aliye saini SINGIDA BIG STARS FC
 
Simba Awana ela ya kumsajili top scorer wa Ghana. Kwasasa wanarukaruka muda uende mwishoe watamrudisha kichuya tu.

Simba kimataifa wanaringia mauchawi si usajili wa wachezaji nyota.
Hujui kuandika awana ela
 
Back
Top Bottom