Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hakika ujinga ni adui mkubwa sana... kama alivyosema nyerere!!! nimepiga kambi hapa.
Wewe binafsi kuna sababu za uwepo wako,si bure,miti,maji,majani kuna sababu za uwepo wa hata majani tu,hakuna kilichopo kana kwamba kipo kipo tu.
 
Noted!
 
Kuondosha chain of curse au mlolongo wa mambo ya kurithi ya huko kale!
Kata shina la muhogo,stem,kata vipande vidogo vidogo 21, viweke kwenye maji maji katika chupa,weka chini ya uvungu,huku ukiomba kuachana na aidha maradhi,mila na etc,iweke asubuhi kunywa kidogo! Tupa,weka mapya fanya hivyo tena,tupa,(utafanya hivi mara tatu 3 tu) kwisha.
 
Hivi vipande unaweka kwenye ndoo Au chupa ya lita moja
 

Mashuka machafu,chupi lililotoboka,vyombo vichafu na kioo kilichopasuka 😃😃 Utaona kama umerogwa,kagua chupi yako kama ina matundu ichane chane choma moto.
 
Mambo ya kiroho huwa yapo very unique,huwa ni exprience za maelfu ya miaka iliyopita mfano,#usiteme mate kwenye vyoo vya shimo, ni myth fulani ambazo si za kupuuza.
Ooh... sisi tunao mwamini YESU hazifanyi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…