Kaka samahani naomba number yako..nina shida na wewe.Dawa ya kunyandua sana
Kaka samahani naomba number yako..nina shida na wewe.Dawa ya kunyandua sana
Hii ya kutumia unga wa muegea kuongeza mwili, na kwa mtoto mwaka mmoja inafaa?? Kipimo chake ni kipi na kwa muda gani??Ni kweli kabisa.Matunda ya mmea huu yana uwezo mkubwa sana wa kuongeza kinga ya mwili,ina maana automatically ni lazima uimarishe afya ya mtu aliyenyong'onyea.
Matunda haya yanatumika sana katika kuongeza wingi wa damu mwilini.Tena ukipata yale mabichi kabisa ambayo hayajakaushwa inakuwa ni the best sana.Ukitaka kujitibi kwa weledi zaidi unachuma mabichi unakatakata na kuchanganya na nanasi iliyoiva bila kuitoa maganda halafu unachemsha kwa pamoja unachuja na unakunywa mchanganyo huo asubuhi,mchana na jioni.Watu wengi wa kijijino ndiyo formula yao namba moja ya kuongeza damu mwilini.
Kivumbasi unatumia majani au mizizi?Mzizi ya mbaazi, ukichanganya na kifumbazi ukachanganya nusu kwa nusu, ukakausha kivulini utapata unga laini, tumia kijiko kidogo kwenye uji kwa siku 30, hata uwe umerogwa vipi uchawi wote utakufilia mbali na utakuwa huru.
Nakubali sana tupé elimu ya mmea huu.View attachment 2294437
Catharanthus this plants heal ALOTS including rheumatism, diabetes an ect
Shukrani sana nimejifunza kitu kupitia bandiko hili, asante sana kwa ku changia. Mola akulipe, Amiin
The best ever.Mfano muarobaini utibu magonjwa 40,mlonge utibu magonjwa 120, kivumbasi na mla ngamia utibu magonjwa yote ya kiroho, ukichanganya majani ya mimea hii ukasaga na kupata unga ukawa unatumia kwenye uji, maji, juice au kinywaji chochote unakuwa na antbody ya kutosha dhidi ya ugonjwa wowote wa kibaiologia na magonjwa yote ya kichawi yaani mchawi na jini Ili wakupate wafanye Kazi hasa.
Ukiongeza imani yako kwa Mola wako sahau kabisa kurogwa au kuumwa ugonjwa wowote. Miti mingi Ina nguvu za kiroho na kibaiologia jiulize kwann watu wa asia upenda Sana kula vitunguu swaumu. Kitunguu saumu na ndimu ni tiba tosha za magonjwa ya kimwili na kiroho.
Ndimu sijui limao eti linakausha damu hizi ni propaganda za wachawi na viwanda vya madawa ambavyo watu wasipougua watafunga viwanda vyao pia wachawi hawawezi kukudhuru yaani Yale mawimbi ya negative power hayawezi penya kwenye mwili wenye ndimu.
jaribu star of Jerusalem flowers Rudi nyuma ya uzi wamejadili.Jamani mimea inayotuzunguka
Inayoweza kusaidia mshipa wa ngiri ya kuvimba.
🙏🏽🙏🏽Nimepitia page zote, asanteni ndugu wataalam baraka ziwe juu yenu na uzao wenu
Kunani tenah
Unamaanisha Hijama Therapy???Kama imeshaanza kujitokeza nje wahi mapema medical naona siku hizi kuna tiba via mionzi.
Lakini kuna wakati kujitokeza kwa vijimundu ni dalili ya hormone kufanya kazi kwa ufasaha.
Kula sana vyakula vya madini ya ayodini hasa vya asili.
Fanya chuku/kutoa damu chafu mwilini.
Nkitulia ntafunua makaratasi maana imekuwa muda.
Hibiscus Tea au Onion Tea, au beetroot juice/tea, au Green tea ya kitunguu saumu, tangawizi, green apple, mboga yoyote fungu moja, turmeric/manjano kiasi..... Any of these..... Rekebisha mlo wako, acha kupikia mafuta ya mbegu.BIN NUN Crocodiletooth dawa ya pressure ya kupanda please. Ishuke iwe kawaida,
Mkuu dawa ipi iyoKuna dawa ya kunywa na kupaka sehemu husika.Kwa hapa hadharani utadanganywa tu mwishowe upake ni vitu vya ajabu uambulie kansa.Nitumie ujumbe binafsi nitakusaidia.