Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

We are related with natural environment, especially plants of varieties! / (creature + plants)
BIN NUN karibu sheikh usituache mbali sana nduguzo, tuletee tiba mpya mpya, maana fani hii kila uchwao ni labs inakuhusu, yaani utafiti haukomi / ili hali magonjwa yanazidi kuwa sugu, ninyi watafiti inabidi mkimbizane kuiponya nguvu kazi ya taifa letu, inshaallah.
 
Kuna mau sijui mnayaitaje yanaota sehemu za karibu na maji mengine yanatoa maua mekundi mengine meupe mtihani uliopo niko bize namna ya kuyapiga picha ndo mtihani maana natoka mapema narudi usiku labda asubuhi nijicheleweshe.
Ndo aya mkuu?
 

Attachments

  • Screenshot_20250509-065134.jpg
    Screenshot_20250509-065134.jpg
    334.8 KB · Views: 45
Kuna mau sijui mnayaitaje yanaota sehemu za karibu na maji mengine yanatoa maua mekundi mengine meupe mtihani uliopo niko bize namna ya kuyapiga picha ndo mtihani maana natoka mapema narudi usiku labda asubuhi nijicheleweshe.
SAwa. Unachukua majani au mizizi au maua yake unachemsha? Unatumiaje
 
Wewe mzee dawa ya pumu ipo?
Nikija pata muda nitaeleza aina zote mbili za pumu..
Kuna miti inatibu kutegemeana na athari.
Binafsi nina pumu ila nilipewa mti ambao umeniponyesha lakini mti huo kuupata ndo mtihani.
 
Nikija pata muda nitaeleza aina zote mbili za pumu..
Kuna miti inatibu kutegemeana na athari.
Binafsi nina pumu ila nilipewa mti ambao umeniponyesha lakini mti huo kuupata ndo mtihani.
Dawa ya goita ya ndani kwamwanaume ni ipi.. goita imeotokana na hormones kuwa nyingi amabayo imesababisha tezi kuwa vijinundunundu vingi
 
Back
Top Bottom