Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kwa wale wenye vimbe zenye dalili za kansa, chemsha magunzi safi 7 ya mahindi yale yaliyochomwa,chemsha kwa dk tano, maji yake kunywa asubuhi na jioni kwa wiki mbili.(Lete hapa mrejesho)
 
Oh vijana wadogo wanaonekana wazee kweli ustaarabu na uzungu utatumaliza rule vyakula vya asili tuchemshe viazi na maganda Yake alimradi tumeviosha kabla,faida ni kubwa sana utausitiri ujana wako Kwa kipindi kirefu sana ,watazeeka wewe utabaki vilevile kijanapendelea kula Kwa kuchanganya na maziwa ,AFYA NJEMA.HII NI DAWA KUBWA SANA.View attachment 2376246
Ni kula na maganda au
 
Kama kwenye maelekezo hujapewa ukomo we soma sura yote verse 1-mwisho,pia kuna zab nyngne ktk maelekezo nimeona wamesema mf.''read this psalm until.......(kinafuata kilatini hapa)''sas mi sijui kilatin,pengne ndo mstar unaopaswa kuishia huo ila umewekwa kilatin,ila sio zab zote zenye hyo limit, hapa alietupa kitabu atusaidie.Natumai maelekezo ya usome zab husika mara ngapi umeyaona(nakukumbusha tu hapa).
Na zinafanya kazi ukweli jaman.Nimefanyia kaz zab moja humo,matokeo niliyopata yaan siamin macho yangu.
Mimi ilikuwa nikitaka kuanza meditaton nasoma Psalm 103 1-14 mara 3 hizo verse ziko kichwan
 
Back
Top Bottom