Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hibiscus Tea au Onion Tea, au beetroot juice/tea, au Green tea ya kitunguu saumu, tangawizi, green apple, mboga yoyote fungu moja, turmeric/manjano kiasi..... Any of these..... Rekebisha mlo wako, acha kupikia mafuta ya mbegu.
Anatumiaje, anakunywa mara ngapi kwa siku? Jr atumie kimojawapo au achanganye vyite kwa pamoja?
 
Zi
HOW TO USE ALLIGATOR PEPPER

1)If You are having Attack or bad feelings for something that is gonna happen

SOLUTION->Come outside with one piece of Alligator pepper and pray with it saying "anywhere these attack is coming from, that you are sending it back to sender" after the prayers wave it over your head 7times and throw it away

2)if You are leaving in a house where you and your husband or your wife are having problem or quarreling all the time for no reasons and you are sure it was caused by someone SOLUTION-> Just use one piece of Alligator pepper to cleanse yourselves and say whatever this problem is coming from, it should stop and go back to sender

3)If You wake up in the morning and have bad feelings SOLUTION-> just use 7pieces of Alligator pepper, put it inside your bucket of water and bath with it, as you are bathing pray that no evil shall be fall you

4)if You do have bad dreams and you don't want it to come to Reality SOLUTION-> Take 7pieces of alligator pepper, put it in your mouth and and chew it, while chewing it go outside and pray that no evil shall be fall you, as you are saying these prayers, you will be spitting it up

5)if You do experience bad market or bad businesses SOLUTION-> Take four pieces of Alligator pepper to cleanse your shop and throw it where people are passing, after that take another two pieces and cleanse yourself after that, throw it the same place, as you did the first one

6) Also if you are the type that sleeps with different girls, remember some girls have bad spirit in which they carry from another man and while sleeping with them without cleansing yourself can bring bad luck to you also that badluck brings business failures SOLUTION-> Before you sleep with any girl, use 7pieces of Alligator pepper to cleanse yourself before and after you are through with the person
View attachment 2273850
zinapatikana wapi, na zinaitwaje sokoni. Kwa Dar Kisutu au kariakoo zipo?
 
NYUMBA unayo ishi Kuna mende Panya vishindo juu ya Dari milio ya Panya usku kucha Ndugu yangu Kuna mende wengine siyo mende Nakuna Panya wengine siyo Panya...Kama wanakusumbua sana Fanya Chukua karafuu Asali Maganda ya vituu swaumu na vitunguu maji Washa jiko la mkaa choma ndan kwa Manuizi utakuja kunishukuru Maana wengine Hela Azikai ndani kwa kuzarau vitu kama hvyo ugomvi ndan pia kumbe viumbe wanafanya yao Leo tuishie hapa.
 
NYUMBA unayo ishi Kuna mende Panya vishindo juu ya Dari milio ya Panya usku kucha Ndugu yangu Kuna mende wengine siyo mende Nakuna Panya wengine siyo Panya...Kama wanakusumbua sana Fanya Chukua karafuu Asali Maganda ya vituu swaumu na vitunguu maji Washa jiko la mkaa choma ndan kwa Manuizi utakuja kunishukuru Maana wengine Hela Azikai ndani kwa kuzarau vitu kama hvyo ugomvi ndan pia kumbe viumbe wanafanya yao Leo tuishie hapa.
Unachoma kwa pamoja au unachoma moja moja?
 
SUPER DOSE 2

.- Prof Malebo: Wataalamu dadavueni mchanganyiko hapo chini unatibu ugonjwa gani?
1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm
2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana) 500gm
3. Unga wa mizizi ya Mjafari (Zanthoxylum chalybeum) 1000gm

Matumizi
Gram tano za unga katika uji mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni).

Formula hiyo inategemea na muandaaji aliandaa kwa makusudia yapi.Kikubwa hapo kuna dose zifuatazo:

1. Vidonda vya tumbo
2. Uvimbe mwilini
3. Presha ya kupanda
4. Presha ya kushuka
5. Matatizo ya moyo Kwa ujumla- moyo kutanuka au moyo mpana
 
Tiba za kale sana hii madhubuti,ruhusu mdudu huyu angate chuchu za bint wa 12-14,atakuwa na vichuchu saa nne!,hatarepeta matiti.
1000009564.jpg
 
View attachment 2271848

Kwa wale wenye mikosi sugu na wanahisi inahusiana na mizimu,
°Kata majani mawili ya mgomba
°Taft chumvi ya mawe, changanya na magadi ya upare, weka kwenye maji ya mvua za mwezi wa nne, pamoja na jani moja ukiwa umelipondaponda changanya ndani ya maji hayo, tandika jani moja chini simama juu yake uga maji huku ukiomba utakavyo ukimaliza toka juu ya jani via ndala zako rudi ndani kwa siku saba tu, la kujisugulia ulitoe katika majani makavu ya mgomba huo.
N. B:- kaombe kazi uone responses yake
Duh.....
 
Kama una ndugu amelishwa limbwata lile mume anakuwa zoba, hana sauti, fanya hivi.

Ingia kwenye Banda la kuku, fagia uchafu (kinyesi) kwa kutoa nje.
Okota punje chache za kinyesi cha kuku kisage sana,changanya na maji au kinywaji chochote halafu mpe mlengwa anywe.
Atatapika vibaya mno,akitoka hapo mke atachezea kisago cha mbwa mwizi
Ahahahahaaaa dah... noted!
 
Back
Top Bottom