Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Haya huwa yanayanywa sijui yanaitwaje nimesahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya huwa yanayanywa sijui yanaitwaje nimesahau.
Mnyalu huu mti si unatoa vimatunda fulani ivi vinaliwaga. Vikiiva vinakuwa njano.Jina: Msongwi au songwe in Kihehe(iringa)
Ugonjwa : typhoid au homa ya matumbo
Maelekezo :chemsha majani laini ya mti huu then kunywa.
Dozi: kikombe cha chai. View attachment 2271380
Huwa unakunywa maji mengi oftenly.Wakuu mwenye dawa ya kuondoa harufu mbaya ya kinywa
Ata mafua ,hayo malaini yaweke puani tu yatatoboka.Jina: majani ya mkaratusi mweupe au mlingoti wa gums.
Ugonjwa : kikohozi
Maelekezo : chuma majani machanga meupe yenye ungaunga. Chemsha then kunywa kikombe cha chaiView attachment 2273275
Nakunywa sana aiseeHuwa unakunywa maji mengi oftenly.
Mana Kuna harufu nyingine inatokea ndani ya tumbo mkuu.
Itakuwa Ni shida nyingine may be. Do you ever smokeNakunywa sana aisee
Kuna dawa lakini inatia kinyaa, "Tafuta konokono kubwa ligonge kwa juu yaani nchani litatoa maji maji yale ndio dawa (siri za utibabu)Umesema hospitali wakithibitisha kabisa kuwa hana tatizo. Maana kuna mwanetu kapigwa juju kaparalyze anatia huruma.
CjawahiItakuwa Ni shida nyingine may be. Do you ever smoke
Ndio mkuu. Ndio mmea huo huoMny
Mnyalu huu mti si unatoa vimatunda fulani ivi vinaliwaga. Vikiiva vinakuwa njano.
Kama hapo kwenye kamfuko kakiiva kanapasuka kanaliwa. Hii kikwetu mpaka nashindwa kuandika hapa
Hii naitumia. Me hasahasa mkaa peke ake. Nina mwaka dawa za dukani nishazisahauChukua kipande cha mkaa kisage kiwe unga laini changanya na baking powder sugulia meno yako na yatakuwa meupe tena utastaajabu
Na picha juu awekeUzi mzuri, nadhani ungependeza zaidi ungetumia lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
Vinasaidia nn mkuu?Mie najua kitunguu swaumu na tangawizi
Muegeya ndio mmea gani?.Kama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Kuna nko wangu alikua anasumbuliwa na kuwaka miguu moto..nilikua namuona anachemsha majani ya mimea flani..kisha anakanyaga miguu kwenye beseni lenye maji ya mimea hiyo..kiila siku asbuhi na usiku.naomba kufahamu mimea ya kienyeji kwa ajili ya kutibu miguu kuwaka moto kwa watu walioenda umri. tafadhali.