Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hiyo miti inapatikana popote ikiwa imechakatwa lakini uwe unaijua vizuri au muuzaji awe mwaminifu maana anaweza kukuuzia chochote ilimradi apate hela.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Shida inaanzia hapo! Kuna dawa nimepata leo ngoja nitumie nione.

Napata hofu sana kama vile Israel hayupo mbali! Maana kuna watu kadhaa ninaowafahamu wameondoshwa na hii dude wakifanyiwa operation, kama masihara tu!
 
HOW TO USE ALLIGATOR PEPPER
1)If You are having Attack or bad feelings for something that is gonna happen
SOLUTION->Come outside with one piece of Alligator pepper and pray with it saying "anywhere these attack is coming from, that you are sending it back to sender" after the prayers wave it over your head 7times and throw it away
2)if You are leaving in a house where you and your husband or your wife are having problem or quarreling all the time for no reasons and you are sure it was caused by someone SOLUTION-> Just use one piece of Alligator pepper to cleanse yourselves and say whatever this problem is coming from, it should stop and go back to sender
3)If You wake up in the morning and have bad feelings SOLUTION-> just use 7pieces of Alligator pepper, put it inside your bucket of water and bath with it, as you are bathing pray that no evil shall be fall you
4)if You do have bad dreams and you don't want it to come to Reality SOLUTION-> Take 7pieces of alligator pepper, put it in your mouth and and chew it, while chewing it go outside and pray that no evil shall be fall you, as you are saying these prayers, you will be spitting it up
5)if You do experience bad market or bad businesses SOLUTION-> Take four pieces of Alligator pepper to cleanse your shop and throw it where people are passing, after that take another two pieces and cleanse yourself after that, throw it the same place, as you did the first one
6) Also if you are the type that sleeps with different girls, remember some girls have bad spirit in which they carry from another man and while sleeping with them without cleansing yourself can bring bad luck to you also that badluck brings business failures SOLUTION-> Before you sleep with any girl, use 7pieces of Alligator pepper to cleanse yourself before and after you are through with the person
1656385124110.png
 
Dokta tupe faida za kula kenge niliwahi kusikia ukila mdudu yule maradhi hya ya kawaida utayasikia tu je ni kweli?
 
Cactus na faida zake:-
°Ukikamulia kwenye ukucha ulioharibika unapona.
°Ukiupanda nyumbani kwako fahamu mchawi hawezi kupita eneo hilo
°Mti huu unatabia kiasili kuzuia radi katika eneo husika ulipopandwa.
Unatumia mara ngapi hii?
 
Usingekopi na kupesti ingependeza zaidi, nitazungumzia hapa mti ambao huzaa matunda yanayofanana na jamii za kunde japo yenyewe ni marefu zaidi, mbegu zake ni dawa, majani yake ni chakula na dawa nzuri sana pia, mti huu ni mlonge(mti wa maajabu).

Endapo utatumia majani yake kila siku utazisahau dawa za hosipitali, huu si utani.
Jinsi ya kutumia
 
Mimea mingi ni dawa, pia mimea mingi hutumika katika mambo ya kiimani na kuondoa mikosi au shida flani....
Red jatropha ukiikausha kwenye jua hasa la kuanzia saa 4 mpaka saa 8 .. Kisha majani yake unayaponda kwenye kinu.. Baada ya hapo unachanganya na maji ya uvuguvugu...
Unakunywa glass moja Mara mbili (asubuhi na Jioni) kwa siku 60 inaondoa kansa ya level yoyote..

Bado utafiti unafanyika kwa HIV... Ila imeonyesha kuna watu wamepona kwa kuitumia kwa zaidi ya siku 90
Mkuu, Mtahadharishe ina kiwango kikubwa cha SUMU
 
Back
Top Bottom